MIMI NI MUISLAM ILA SEMA UKWELI YESU NI MUNGU NA ANAJIBU MAOMBI🙏
2026-09-18 18:38:52
43
Eveline Sebastian :
YESU ni MUNGU Tumsifu YESU kristo 🙏
2026-09-18 14:24:26
49
lapatozy :
YESU KRISTO ni njia ya ukweli na uzima wa milele
2026-09-18 12:57:32
36
Johnson Konde :
nitakufa kwenye ukristo wangu mpaka milele mungu atupe mwisho mwema
2026-09-18 15:54:48
14
Miss malundo :
Yesu ni njia ya kweli na uzima🙏🙏🙏
Haleluya Haleluya
2026-09-18 14:27:14
20
Daniel Mashenene :
Jesus is way
2026-09-18 20:24:22
1
rose🌹 :
Yani hi kitu uwa siipendi mana vita yake Huwa mbaya mno
2026-09-18 17:56:40
11
elibrown canabino :
mbon mnanichangany nyie koo niend wap sas
2026-09-18 18:48:43
2
mrdee :
mm naipenda maana kweli inawaweka watu huru wasiojua wanajua
2026-09-18 20:35:29
2
user4228179726735 :
Yesu kristo yupo hai milele na milele,ndugu waislamu mfateni yesu yeye ndie njia na uzima.
2026-09-18 14:38:42
15
Clavisy Junior :
love ❤️Jesus
2026-09-18 20:39:40
1
Lydia Nekesa :
Eleweni maandiko. nimesikia mwingine akisema eti Yesu ni Mungu!! Angalia Kwa Sala ya Bwana. yesu anafunza wanafunzi kuomba. Anaanza na kusema Ee Baba yetu ulie juu mbinguni mapenzi Yako yatimizwe...........
Mbona hakusema Ee yesu ulie juu mbinguni jina lako litimizee??Elewa maandiko. muombeni Kwa jina la yesu nanyi mtapewa
2026-09-18 19:09:41
2
danieljackson9389 :
yesu kirsto ni njia ya uzima
2026-09-18 19:14:23
5
Fabrice Mubalama :
Yesu christo nanjiye ya uzima atukuzwe milele na milele amina
2026-09-18 15:46:56
6
REE🫵🏾⚡⚡ :
🫵🏿🫵🏿🫵🏿🫵🏿 Noooooooooooooo😭😭😭
2026-09-18 18:47:32
1
Lela Maganga :
ina lillah waina illah lajuuun😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-09-18 20:41:41
2
MSHAUR TZ :
mungu humchangua amtakaye
2026-09-18 20:45:31
2
HUSSEIN22 :
toa pqrt2 watu wajue ukwer kijana
2026-09-18 20:50:11
1
nayfat ❣️ benson :
Dini haimpeleki mtu mbinguni kikubwa namuamini mungu inatosha, Mimi si mkristo Wala muislam
2026-09-18 20:55:40
1
Guraka tz :
amen
2026-09-18 19:33:13
2
abuusaadi1 :
subhanallah yaan unamtukana mpaka ALLAH.
2026-09-18 20:38:26
1
Shaban :
Siku ya mwisho kila mtu ataelewa ipi haki na ipi batili
2026-09-18 16:04:07
3
Rehema Kwese :
wafundisheni watu imani sio kukosoana mungu ndiye anaejua ninani mwenye haki
2026-09-18 15:28:23
3
user1903231434780 :
unahubiri mzuri sana ubarikiwe mutumishi
2026-09-18 19:43:22
2
LOVE TZ TANZANIA :
amina
2026-09-18 19:09:33
2
To see more videos from user @jesuschristmytrueking, please go to the Tikwm
homepage.