the teacher is the only one who honestly wish you well... like ya mwalimu. ♥️
2026-09-19 09:35:22
2
Dear☪️❤️ :
Ya robbi 🤲🤲🤲nakuomba uhifadhi wazazi wetu. Ameen 🤲🤲🤲😪😪
2026-09-18 12:16:25
84
꧁༺🕋 𝑨𝑩𝑼𝑼𝑩𝑨𝑲𝑨𝑹 ☪︎ :
Allah is the most merciful
2026-09-19 04:35:30
0
Faith 039 :
very true
2026-09-19 03:23:35
0
Shakombo Hamisi :
Kila mtu duniani anakupenda na maslai isipokua Allah
2026-09-19 16:12:20
8
rahsay :
dakatr nakataaaa me daktr lkn kuw na mgonjw mahutut hapn icho kitu hatufurahii kabisa tunataman mahutut akiletw tumtib apone salam atok spitl
2026-09-18 14:48:57
13
shuu♥️743 :
mm naomba kuuliza na wale wazazi walio telekeza watt wakiwa wadg na wakishaona mafanikio ndio wanakujua Tena Wana kutishia laanabje hapo imekaaje
2026-09-18 14:00:36
10
warda s b s t :
allah atujalie mwisho mwema
2026-09-18 18:55:27
17
delix🇦🇪🇰🇪 :
sisi walimu hatufurahi kama mtoto hashiki darasani
2026-09-19 07:46:06
4
The gardener's daughter :
Mungu tusamehe........tufanyie wema wazazi wetu
2026-09-18 12:44:11
8
swalehhh :
Assalam aleykum anaitwa nani huyu Sheikh???
2026-09-18 20:38:13
4
Rajabu :
Allah akbar
2026-09-18 15:44:47
3
Black :
Aloo mimi kwa jinsi ninavowapenda mama na baba yangu acha bwana, wapo hai ila ikitokea nimesahau kuwaombea dua baada ya swala ya alfajiri iyo siku nakosa amani
2026-09-19 09:46:28
3
Mcutish Earthman :
very true
2026-09-19 08:22:26
0
da shour og :
ninkwer jmn allah atupe wepes jmn tuwahifadhi wazaz wetu
2026-09-20 11:29:50
1
subira yamungu :
wazazi wetuu jmn wema wao haulipik
2026-09-20 06:42:37
1
raniyaabass :
kweli kabisa MOLA atulinde wajawake
2026-09-19 20:02:10
1
father_night..46🤞 :
kam unajuw huyu jamaa anaongea point gong like hpa
2026-09-19 05:06:06
1
G :
kweli kabisa mungu awaongoze
2026-09-18 13:24:52
4
ABOOD :
tutafanyaje sasa na ndio mungu ameweka mfumo huo hauto ukwepa hata iweje
2026-09-18 18:10:22
0
THE_PUBLIC_CALL_ISLAMIC_MEDIA. :
Subhanallah 😡😢😭
2026-09-18 19:47:40
1
user2104750488393 :
Allah akbar
2026-09-18 14:43:08
1
UKTHY WA KILIFI :
tupende wazazi 🥰🥰🥰
2026-09-18 19:47:32
1
To see more videos from user @al.akhi.naasir7, please go to the Tikwm
homepage.