@drchinja: KAMA UME KABIDHIWA PETE YA KIROHANI / KISHARIFU BASI PENDELEA KILA ALKHAMIS JIONI UWE UNAITAKASA IWE NA NURU NA KUONDOA NGUVU HASI PIA HII HUSAIDIA KUIPA BARAKA NA MVUTO MKUBWA SIKU YA ALKHAMIS JIONI TAFUTA ROSE WATER AU MAJI YA ZAMZAM KISHA TAFUTA GLASS NZURI WEKA HAYO MAJI YAKO HUMO HIYO PETE UTAITIA HUMO IACHE IKAE MPAKA ASUBUHI YA IJUMAA ITOE KISHA IFUTE NA KITAMBAA CHEUPE KISAFI KISHA WASHA UBANI WAKO WA MAKKAH AU WOWOTE MZURI IFUSHE VIZURI HUKU UKIWA UNASOMA SURAH UNAZOZIJUA ZA KINGA ZIPO NYINGI ILA KAMA UWEZI ACHA KISHA TAFUTA MAFUTA MAZURI KAMA EL BINT SUDAN YAPAKAE KWENYE KITO PALE JUU KISHA VAA ILA UWE MSAFI WA KIMWILI NA KIMAVAZI UKITOKA HAPO ENDELEA NA MAISHA ❤️ #tanzaniantiktok🇹🇿 #mozambique🇲🇿 #congolaise🇨🇩 #ugandatiktokers #kenyantiktok🇰🇪@KITENNA CHEMBOGA @DR KITENGA

DR CHINJA
DR CHINJA
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 18 September 2026 12:13:05 GMT
3629
196
18
3

Music

Download

Comments

harris_931
Harris 🧿 :
hiv huwa zinatok baada ya mda gan pete zao
2026-09-18 12:49:18
1
tattieh7
tattieh :
sijamalz kusoma najikuta nalia na kichwa kuuma
2026-09-26 07:33:34
0
jecintamuthoni75
latifa :
alhamdullilah nimepata funzo zuri sana mm Leo nimeshidwa kutatua mambo yangu ya ndoto na jinsi ya kufanya mara pap nakutana na ww nimejua mengi Asante sana
2026-10-01 09:16:21
0
fatumakadusi6
madam.phetty.mabusiness :
nauliza jaman Kuna jini fatma na mariamu?
2026-09-23 20:50:56
0
zakhiapirbahi72
zakhy :
nafurahi sana kusikiq hiyo zikri
2026-09-18 12:19:44
1
ameenah.sindyah
meeh🦋🦋💖 :
naomba uziruhusu sehem ya kusave DR CHINJA nackia amani sana nikickiliza
2026-10-07 15:54:58
0
zaqyasaid
zaqyasaid :
nauliza kwa nn mtu ukiwa na majini uchukiwa sana
2026-10-05 08:19:21
0
asiaelias1
official 🌹🌹momo :
ivi ukiwa na hizo Pete mashart yake ni nini
2026-09-22 12:11:37
0
qulwa
Qulwa🤍 :
📌
2026-09-18 19:05:02
0
To see more videos from user @drchinja, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About