chipupute kwani kati ya maneno na recipes kipi uwa una anza kuandaa nashindwa kuelewa 😂
2026-09-18 17:44:12
129
M🌹H🌸 S🌻 :
Chipu uko wapi nije uniharibie maisha
2026-09-18 17:27:22
30
shaa interior :
umegrow [Tears of joy]naomba nikupende[Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-18 12:43:47
11
Faudhia yazid :
jamn me nikizikaanga zinaunga kwaiyo inabidi niwai za juu maan za chin zinaungua fast 😂😂😁😁
2026-09-18 17:42:39
5
Twiga🦒 :
Nakushukuru chipu nimeweza kupika karanga za mayai na kuuza ofisin kwangu na kwa watu wengine asanta sana najipatia visenti vya hapa na pale🙏🏽
2026-09-19 09:39:25
6
iam_trica🇹🇿🇧🇭🇲🇾🇨🇦🇰🇷 :
Wakwanza mimi leo ila mafuta ya nazi sijapata bado 😂😂
2026-09-18 12:25:19
9
ommy designer :
Zingatia kunatanata😁
2026-09-18 20:35:26
1
mohamed :
hii nimeijaribu broo juz j 3 mbele ya mama mjengo kapata jambo la kufanya sasa siku ya pili tu lkn majibu mazur lkn anapika kila siku na zinafaida mno
2026-09-30 17:12:43
1
..Sheyler.. :
yani pamoja na mapishi lakin unavyoongea ukiwa unapika napenda veep😂😂😂🥰
2026-09-18 12:58:42
9
Rahmacute :
Nakupeda sana unajua kuelekeza mapishi mim family yako
2026-09-18 12:25:34
11
Kamamaa🌹 :
Kwani mbona mi inakataa kujoin kweny group😥
2026-09-21 12:56:31
1
Gee♎️🧿 :
Chipu link inakataa
2026-09-21 11:38:47
1
Munah uptown store :
Mi nae kupita bila kulike recipe rahisi rahisi kutoka kwa chipupute siwezi na vile kila siku tunasemwa upya😂
2026-09-19 06:38:45
6
decentMommy :
vanilla ya unga au maji chipu🥰
2026-09-20 09:11:29
1
D-rose✨🥰💫 :
Jmn Mbona siwezi kujoin
2026-09-19 18:05:06
1
vee001 :
chipu leo hujajifusha vzr bana😂😂😂
2026-09-27 17:09:07
1
زوجة❤️ :
Nime cheka 😂😂😂 ila wewe kaka dah hatar ukikosa move Angalia majiran zako 😂😂😂😂
2026-09-19 07:43:50
1
Mariam Sylvanus :
Chipu nakupenda 😂😂😂maana bila wewe tabasamu nalisikia tu kwa jirani
2026-09-18 12:51:19
7
Habiba Khalidi :
yana hitwaje hay maindi sija skiy vizur
2026-09-18 19:40:33
1
my doy :
😂😂 kila tongozo
2026-09-18 13:07:48
1
Walter girl 🌹🌹 :
I love this cartoon ☺️☺️
2026-09-19 05:26:06
1
𝐀𝐂𝐓𝐎𝐑 𝐃𝐎𝐇𝐍🎓 :
@Abihudi:Jaman tuwe makin Sana na vitu kama hivi , unaweza ukajikuta unaingia kwenye matatizo bila kutegemea na hii ndo shida ya sisi watanzania na inatuponza sana unakuta mtu yupo serious kabisa anasoma comment yangu badala aandike ya kwake. muone
2026-09-24 16:17:41
2
Glory Angel :
Yani uki owa mkeo. akiwa hajui kupika atakoma🤣🤣🤣🤣
2026-09-22 12:16:26
1
🇹🇿Segito🇹🇿 :
inagoma bana
2026-09-19 15:22:35
1
Eppy1_ stylish~iringa 01 :
Mi napenda unavoongea 😂
2026-09-19 18:28:49
1
To see more videos from user @chipupute8, please go to the Tikwm
homepage.