@thehalallovecoachbyrahma: kukua kuelekea ndoa yenye misingi mizuri. Tuma neno “NDOA” WhatsApp 0763461665 nikuunge In shaa Allah The Halal Love Coach by Rahma 🤍.Hapa tunazungumza kuhusu 💍 Uchumba💏Mahusiano Maandalizi ya ndoa Maisha ya ndoa Healing & emotional growth Ndoa kwa mwongozo wa Kiislamu Kama unataka kujifunza nasi zaidi,Unataka kuolewa naye? Muulize kwanza haya 10. 🤍 Uchumba si muda wa kuongea kuhusu feelings pekeeNi muda wa kuuliza, kusikiliza, kuchunguza, kuelewa values za mtu na kuona kama mnaweza kujenga maisha pamojaUsiogope kuuliza maswali muhimu kwa sababu unaogopa kumpoteza mtu The right conversations before marriage can save you from many misunderstandings after marriage Save hii post kwa ajili yako au mshirikishe mtu aliye kwenye hatua ya uchumba #TheHalalLoveCoach #NdoaYaKiislamu #Uchumba #MarriagePreparation #MuslimMarriage

The Halal love coach by Rahma❤
The Halal love coach by Rahma❤
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 18 September 2026 12:20:53 GMT
24649
614
7
99

Music

Download

Comments

chumumu_radhid
chumumu :
wako wapii hawooo wakuowa bciiii
2026-09-18 18:27:38
1
abdulkareemally02
~Iss@☆ :
kujiunga kias gan?
2026-09-19 10:13:16
0
user3850366137483
Hurrul- aayin👁👁👁👁 :
for sure mm kuna mtu ananipenda mwazoni nilijaribu kumpuuzia but everyday ni mtu mwenye ndoto kunipenda ananipenda but ana maono na mm inshaalah kama mungu akipenda litatimia
2026-09-19 09:09:09
0
wihamu
wiham💙♥️ :
jazakkallahu kher habbit ♥️♥️♥️♥️
2026-09-19 19:44:46
0
user1903983603223
zd :
❤️❤️❤️❤️
2026-09-18 17:49:56
0
To see more videos from user @thehalallovecoachbyrahma, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About