@islamicswahilinet: PESA HAIBADILISHI TABIA, BALI INAWEKA WAZI TABIA ZILIZOJIFICHA Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet
Islamic Swahili NET
Region: TZ
Friday 18 September 2026 12:36:55 GMT
Music
Download
Comments
kelivn :
mungu nibariki ata milioni Tano nijuwe tabia yangu
2026-09-18 13:59:20
6
AL HAMDULILAH :
Maa Sha Allah our East African menk
2026-09-18 16:52:58
1
Mohammed :
What’s the sheikhs name I search for him on YouTube
2026-09-18 12:57:27
5
kessey Swide :
Ooh quick recover sheikh, may ALLAH heal you
2026-09-18 17:59:21
0
jumajuma :
it's true
2026-09-18 18:18:39
0
BUSINESS EMPIRE TZ :
Wallah naenjoy sana kufanya dhikir, imefikia hatua, nikiwa narembe, naendesha gari popote nilipo nafanya dhikir.. Na Alhamdulillah ALLAH AMENIBARIKI... ALLAHU AKBAR... I drop happy tears 😭
2026-09-18 16:38:07
7
Ngonifaceless channel :
Wanaume wengi wamekufa mapema baada ya kupata fedha
2026-09-18 14:55:43
14
Feisal Miraji :
Alhamdull kwa kila Neema
2026-09-18 15:00:06
7
HASSANI HUSSENI :
Kweli kabisa Shekhe
2026-09-18 13:57:54
2
mussa 25 :
amin amin
2026-09-18 17:12:34
0
Salimu Chogogwe :
mashallah
2026-09-18 14:04:04
4
juma issa :
huu ndio ukweli
2026-09-18 14:55:57
1
Malume255 :
real
2026-09-18 13:59:23
1
muhammad ally :
😂😂😂😂😂❤️🤲ya allah ya allah ya allah
2026-09-18 15:25:35
1
programmer :
kweli
2026-09-18 14:53:32
1
yasiniabdalla510 :
mashaallah
2026-09-18 13:48:21
1
glam_by_rahumy :
KWELI KABISA
2026-09-18 14:59:34
1
Mkulago :
Huyu Khatibu nilimuona Kampala, anatoa khutuba kwa lugha ya Luganda. kumbe Kiswahili pia kinapanda vizuri. Ma sha Allah, Ma sha Allah
2026-09-18 19:05:13
0
Abdi :
😂😂😂😂 kkkkkk
2026-09-18 15:06:53
0
Bazuu :
kweli
2026-09-18 13:56:34
1
Ibraimo imide Imide :
tupo pamoja
2026-09-18 13:59:07
1
Blaise aigle bvek :
pata pesa tujuwe tabiya yako
sheh amina
2026-09-18 12:48:47
2
ally business tz :
jina la sheikh
2026-09-18 15:27:04
1
Guylain Bahati :
right
2026-09-18 13:44:49
0
yahya munhu :
swadakta
2026-09-18 14:12:24
0
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm
homepage.