@mwakagugu_jr: Huu hapa mrejesho wa wapi tumefikia na wapi tunaelekea. Tuendelee kujiunga na Group la whatsapp, Link kwenye Bio ya Instagram na namba kwa upande wa Tiktok,🙏🏾🙏🏾🙏🏾 #UmojaMovies #Tanzania # #mwakagugujr #VideoLibrary
tatozo la umoja wa movie wa na chaguwa madj ndio shida mim na washauri njooni kwa high classic djs sisi ndio baba lao
2026-09-18 14:03:10
8
Radii Saïd🏖 :
SMVT ndo wakina nan
2026-09-18 16:08:17
0
rajastudio :
Kaka we uko wap
2026-09-18 12:46:15
2
Tico Young :
wapatikane watu kama hawa kumi tu Tanzania nzima 🙌🔥🔥🔥
2026-09-18 14:27:41
4
Kingmu616 Solutions :
hatutaki Umoja wa Muvies😂
2026-09-18 13:17:57
3
ESROMU JOHN :
UO UMOJA ATUITAJI SISI
2026-09-18 20:53:07
2
MKOLOSAI ZENGO :
Kama nyinyi watu wa library mnajua umuhimu wa kazi za wasanii, mngejiunga na Umoja Movie, kwa sababu unasaidia sana kulinda kazi za wasanii kisheria.
Mfano, msanii anapotoa movie au kazi yake, si haki mtu kuipakua, kuisambaza au kuitumia bila idhini ya mwenye kazi. Umoja Movie wako vizuri kwa sababu wanawatafuta wahusika wa kazi hizo na kuingia nao makubaliano ya kusambaza kazi zao kwa utaratibu unaokubalika.
Kwa nyinyi watu wa library mnaopinga Umoja Movie, jiulizeni: kama siku moja wasanii wataanza kufika kwenye library zenu kukagua kazi zao na kuuliza kama mna ruhusa ya kuzisambaza, mtawajibu nini? Kwa sababu kutumia au kusambaza kazi ya msanii bila idhini kunaweza kuwa suala la kisheria.
Hebu tuunge mkono Umoja Movie kwa ajili ya kulinda haki za wasanii na kuhakikisha kazi zao zinatumika kwa utaratibu unaostahili. 🎬🤝
2026-09-18 19:44:26
0
babumjukuu_movies :
Tatizo la umoja ni wanafosi ama kulazimisha ununue movie kwao unaeza dhani wao ndo wanakuletea wateja🤷,na hakuna kazi ngumu kama kuaminisha mteja kama hiyo muvi unayomuekea ni nzuri
2026-09-18 15:32:20
2
Bruno david :
tutafte ma DJ wapya tu😁
2026-09-18 18:18:26
1
Khaxadhz :
kikubwa Nipate movies za Babu dj na Master dj
2026-09-18 17:21:12
1
Ezekiel Edwin Mwakajila :
Nchi hii upigaji tu kila kona
2026-09-18 14:58:56
1
Yuve Actor :
smvt ni watu gani tunatka tujue
2026-09-18 13:57:29
1
KICHIBI MADVD :
nakuunga mkono kijana hao jamaaa watuache tufanye kazi zetu kwa amani
2026-09-18 13:46:02
1
Mussa China :
sema kak tup bamoja
2026-09-18 13:38:16
1
JONG :
Inshu ni pesa na kama ni pesa DJ anapata pesa
🫵 umoja wanapata pesa
inshu ni nini na kila mtu ananifaika kwa kazi yake
waaache tamaaa ya muda mfupi
wafanye kazi kwa upande wao na library zifanye kazi zake
2026-09-18 12:50:46
1
eddycoll :
ndo nani hao
2026-09-18 14:35:33
0
ENNOS B :
niunge
2026-09-18 19:44:28
0
B.I.G :
cmpt ni kinanani
2026-09-18 19:37:21
0
deoniezery :
kama veap ma dj wapya wajitokezee tutawasapoti
2026-09-18 21:31:40
0
ALOYCE 🇵🇹🇵🇹🇵🇹🇵🇹 :
nifunge kwenye group mim ni kijana WA library
2026-09-18 20:03:26
0
Nick syntax09 :
hao jamaa jau
2026-09-18 22:46:49
0
Bruce Pain :
Hatuwataki Na iyoo app yao kama ni madj Tutakomaa na High class dj Saiv
2026-09-18 21:09:09
0
Denisi William :
sema wejamaa una jua kutoa maelezo naomba SIKU nikiachika twende wote ukweni ukanitetee
2026-09-18 20:29:23
0
𝕃𝚒𝚣𝚣𝕐 𝔹𝚞𝚜𝚒𝚗𝚎𝚜𝚜♡ :
Naomba link ya group kak
2026-09-18 14:40:08
0
To see more videos from user @mwakagugu_jr, please go to the Tikwm
homepage.