@mumbasilva: WANAOISIFIA SIMBA KUCHEZA MECHI 3 WAKIWA PUNGUFU, NA KUICHEKA YANGA KUCHEZA DAKIKA 78 WAKIWA PUNGUFU NA KUPATA BAO NA POINTS 3 MUHIMU. SIKIKIZENI HAPA
Mumba
Region: TZ
Friday 18 September 2026 12:46:41 GMT
Music
Download
Comments
ze boy :
uko vizuri bro .. facts always wins
2026-09-19 07:40:36
2
Shey_vipodozi :
wachambuz wa Tz n wacheza kamarii[Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-19 04:06:40
9
𝔹𝔸 𝕁𝕌ℕ𝕀𝕆ℝ 𝕋ℤ🇹🇿 :
Daah bwanamkubwa weeh ninoma sana mimi uwa nafatia mpira lakin weeh ume nizidi mbali sana eeeh bga up sana💪🔥🔥🔥🔥
2026-09-19 08:20:28
35
Hamzah"" :
Mm mchambuzi wangu ni mmoja tuu tz, CHISANO JR
2026-09-19 05:26:38
52
itsmahamud001 :
Nashukur kw kuwapa Elimu tena bureeeee[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-19 08:54:44
5
JC@macha :
Mbona sioni mwanasimba hapa jamani wanasimba kimenuka njoooni huku 🤣🤣🤣🤣
2026-09-19 06:19:48
13
Gilimani Emmanuel10 :
Ahsante Sana Man of the match
2026-09-19 15:23:54
0
Thane :
afadhali umenisaidia kuwaelimisha
2026-09-19 08:28:03
9
Gombela muridi :
Asante
2026-09-19 04:29:16
2
marcoenock :
💪 safi kaka hasa Ngereza na oruma
2026-09-19 05:10:07
14
official by lolo 57 :
pwent umeongeyaa 💯💯💯
2026-09-19 05:21:46
0
khanjr :
wachambuzi wa tnz kwa sasa tuwachambue
2026-09-19 04:23:34
14
John Z :
Tanzania nzima hakuna wachambuzi ni mashabiki wa Simba na yanga
2026-09-18 13:03:00
31
5050ramso :
Huo Ndo Ukweli Kiongozi
2026-09-19 08:24:31
5
allan AM :
na usisahau kuwa walipcheza na coast walishinda kwa taabu goli moja tena wakiwa wametimia
2026-09-19 00:44:45
12
Sonso :
umemaliza kaka huna baya
2026-09-19 10:36:56
7
user9241046230345 :
ndioo wale wale wewe unaushabiki na yanga pia kwasababu yanga nae anamakosaa mengi ya kimpiraa anabebwaa sana mbona hujasema
2026-09-19 04:55:07
5
Godfrey :
daaah nilikua nasuburi kusikia watu kama hawa
2026-09-19 07:38:11
6
Salu Juma22 :
safi kbxa bro, apo sasa ww ndyo umetuchambulia na kutuelewesha vzr , cyo kama wale wakina dulla wa wasafi , wameweka ushabiki zaid na c kuchambua ball
2026-09-19 04:35:26
6
Manota :
mim nakuunga mkono
2026-09-18 13:16:39
7
Mohamed Rama :
Inapendeza kujadili mambo kwa facts na data. Safi sana.
2026-09-19 02:23:40
17
bib ayra🇴🇲🇴🇲🇹🇿🇹🇿 :
Yani yanga wanajua sana kwamba kila mwaka yanga mbovu ila mwisho wa msimu yanga bingwa kwaiyo kawaida Yao ila awajui ndo wanazidi kuiyombea
2026-09-19 05:36:54
5
EMMA NUERY ADAM :
waambie
2026-09-19 07:50:01
1
ruby :
bongo akuna mchambuzi
2026-09-19 08:13:13
4
Henry johnbosco :
Kaka mbona hujaitwa kufanya kazi wasafi maana unajua 🔥🔥🔥
2026-09-19 09:31:48
2
To see more videos from user @mumbasilva, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.