@kenya.news.today: Je, Edwin Sifuna anatosha kuwa Rais wa Kenya? 🇰🇪 Katika hii edition ya **Bunge Mwananchi**, wananchi wanajadili kwa uwazi iwapo Sifuna ana sifa, uzoefu na uwezo wa kuongoza Kenya kama Rais. Maoni ni ya wananchi — **raw, unfiltered na bila kupepesa macho.** Je, unamwona Sifuna kama Rais wa Kenya? Tueleze maoni yako kwenye comments. Sifuna debate - Bunge la Mwananchi #sifuna #mombasatiktokers #luotiktokers #luhyatiktokkenyanfamily #kikuyutiktok
kenya.news.today
Region: KE
Friday 18 September 2026 12:47:31 GMT
Music
Download
Comments
sam :
I can now sleep with peace having listened to you.
2026-09-18 18:08:33
24
The favoured man of God :
pliz naomba mombasa tueke block ya 1 term na tuakikishe kasongo ameenda nyumbani
2026-09-18 16:57:53
42
J wa sifuna :
vijana kama Hawa ndio wako Na wisdom.
2026-09-18 15:31:10
70
Michael Mangi :
uzuri yuaja huko kilifi let's embrace new leadership new generations.... the man of the moment is sifuna
2026-09-18 19:57:11
17
Imejipost🇰🇪🇧🇷#911☠️🤬 :
Ruto One Tam Polite akienda Sugoi🤣🤣😂😂 H.E President SIFUNA Must Be Respect💯✅🫡🫡🫡🫡🫡
2026-09-18 19:58:23
8
@B.y City :
Nashaangaa pia,ati "Sifuna Bado" ok Bado Nini? Kama Sio Sifuna Kura Mm Sipigi.
2026-09-18 21:42:55
7
Barista.Chris.Cortado ❤️ :
Tukiwa na mawazo kama ii nchi mzima Kenya itangaa bila pressure
2026-09-18 20:09:54
6
Dominic :
kweli broo Sifuna 4 Presindet 2027
2026-09-18 19:02:05
14
slooow motion :
broo unasema ukwel sifuna 🙏🙏🙏
2026-09-18 17:48:15
17
Okendo Jnr :
wambie kuna Traore the best in the world
2026-09-18 19:02:10
10
lion edwino :
sifuna tosha[Heartwarming][Heartwarming]
2026-09-18 17:55:44
5
David wechuli oswaro :
huyu apewe ulinzi walai huu ukweli mtupu.
2026-09-18 19:52:07
6
YOUNG BILLIONAIRE(GERRY) :
sifuna the 6th
2026-09-18 19:04:38
6
Shilaho Calistus :
hapo nmekuunga mkono tena 100 percent
2026-09-18 19:44:26
14
Alecky001 :
wambie bro
2026-09-18 17:35:40
6
Milly✨💧 :
sifuna period💪
2026-09-18 21:44:56
6
Willy Messi :
ukweli kabisa
2026-09-18 17:14:14
9
Dipha phadi 254 :
ndugu umeona kama mm
2026-09-18 17:35:52
14
modern O :
I’m
2026-09-18 21:19:58
5
namenge@2 :
bro kujia hug ♥️♥️☝️☝️
2026-09-18 18:04:44
12
bonae05 :
true
2026-09-18 17:51:19
6
ELFAS MUSIC🇰🇪 :
Yes
2026-09-18 17:08:51
5
user7322710510004xaviour :
Sifuna ni mwanasheria na ni mwenye nidamu kubwa na rais wa 2027 period.
2026-09-18 19:39:35
8
wanjala@39 :
kabisa kaka
2026-09-18 17:11:12
5
MASTER WINNER :
let us be very carefully abound saying twotam hiyo ni final kwa ruto na tutaona moto
2026-09-18 17:50:55
6
To see more videos from user @kenya.news.today, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.