Mimi ni MTANGANYIKA lakini
kiukweli TANGANYIKA inatafunwa na viongozi wakitanganyika wenyewe,, ZNZ ni nchi huru lakini mabepari watanganyika wanaidhulumu ZNZ.
Naamini hata TANGANYIKA wakiwa na viongozi wazuri, itapelekea RAIYA wake KUTIBIWA BUUUUREEEEEEE bila kulipia hata senti-5
Naamini ZNZ muungano ukifa, ZNZ itakua kama ULAYA halafu TANGANYIKA patakua hakuna maendeleo yoyote kwasababu SISI WATANGANYIKA TUNATAMAA SAANA pia tuna UBINAFSI
2026-09-18 13:55:14
8
hamoud boy :
pale Tanzaniaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
2026-09-18 17:54:06
0
layzerdon :
watupe t Zanzibar yetu
2026-09-18 17:40:03
2
zanzibar :
afya sio jambo la muungano
2026-09-18 15:11:29
4
shaha@ :
matibab zanzibar yalikua bure mara tu baada ya mapinduz kabla hata muungano
2026-09-18 19:00:11
1
Mubah Zanzibar :
hakuna nchi Tanganyika
2026-09-18 14:21:42
1
Nathan Karuti :
aki napeda inxhi yangu Kenya,tuko na haki
2026-09-18 13:34:55
1
mubah67 :
2026-09-18 18:39:46
0
Yong 🕉 :
waulizen wazanzbar mtapat jib
2026-09-18 15:47:00
1
Mr Habib_ali :
2026-09-18 18:57:48
0
dudu baya :
true
2026-09-18 19:14:41
0
268443 :
yes bora watuachie tuh zanzibar cc tunawez kujiongoz [Perfect score]
2026-09-18 17:38:07
0
Dull Abdillah :
lete babaaa
2026-09-18 13:35:48
1
Aisha Hamisi :
redio. yangu pendwa
2026-09-18 18:33:49
1
hafidhelmariesh1 :
ndio broo watuache tu😂😂😂
2026-09-18 18:03:14
0
sakhrman zanzibar 💦🪼🌴🐙🐚🐬 :
kwn ilo suala limeanz kw Samia t mbn tok utawala w kikwete munalipia t n zanzibar matibabu ni bure toka utawala wa karume
2026-09-18 18:27:53
0
Evans Moshi :
Redio ya maana sana
2026-09-18 18:18:59
0
Ochu :
Kwani Mombasa kuna Raisi kama vile Zanzibar,
Hamjui kitu acheni kupotosha !! zanzibar ina bajeti yake na Tanganyika inabajeti yake,
Mzanzibar akija Tanganyika anatibiwa kwa bima na sio bure na hata mtanganyika akija Zanzibar kama ana bima atatibiwa
2026-09-18 18:18:50
0
Young Jeff znz :
acheni upotoshaji huo mbona alivyokuwepo magufuli hamukusema hivyo
2026-09-18 15:54:15
0
Bin Muhine :
hio ipo zamani kisha zanzibar inayo mamlaka yake ya ndani ndy sabbu kuna mpka raisi wake
2026-09-18 16:10:05
0
user33882541453004 :
watu wakasome katiba ya zanzibar watajuua ilaaa kwa malalamiko hyo hakuna uhalisia
2026-09-18 20:28:30
0
Lost :
Zanzibar n Tanganyika n nchi mbili 2 tofauti
2026-09-18 17:35:39
0
xxx :
matibabu si swal la muungano
2026-09-18 16:37:39
0
MSOMI :
tatizo bakubaliano ya munganyiko jiulizeni mbona haya mambuo yapo tokea enzi za mwalim JULIAC KAMBARAGE NYERERE ndy mjiulize iv
2026-09-18 16:12:01
0
Fatma Mikpot :
oye tuacheni cc
2026-09-18 13:40:13
0
To see more videos from user @radio47_kenya, please go to the Tikwm
homepage.