@khalifa.said4: mara yako ya mwisho kuripoti jambo @polisi.tanzania na kupata msaada uliokuwa unautaka ilikuwa lini? tushirikishane uzoefu, mzuri au mbaya, tukiendelea kupigania tanzania tuitakayo. 🎥: @Kirati07, @nijuzenews:
Your hon,Khalifa ulupata Balaji I'm very interested on that
2026-09-30 12:48:04
0
NaTional AsSeT🇹🇿 :
ulipaswa kufungua kesi ya madai kwasababu jamaa hajafanya jinai... polisi hukupaswa kwenda kwa hapo utawalalamikia polisi Bure ,jpo kweli polisi wannalalikiwa sana
2026-09-18 16:25:17
10
tatzoK :
Ukiwa na Pesa na Madaraka Nchini Tanzania unakuwa juu ya Sheria.
2026-09-18 14:46:19
31
Baracha :
Tatizo ulipeleka kesi ya madai police na si mahali pake --- kesi ya madai ni mahakani --- siku nyingine peleka kesi ya madai mahakamani utapata haki yako
2026-09-28 02:34:48
2
VIBE ARENA HQ :
Niliombwa niwanunulie peni na hapo ndio kituo kikubwa nchini [Tears of joy] nikasema hapa sitoboi
2026-09-18 16:16:16
9
kalamba Jr :
si kweli
2026-09-18 15:10:32
3
Joe’s Collection store🛍️ :
Nina ushuhuda
2026-09-19 05:43:46
2
kaka Ras 🛺 :
kugusu malalamiko ya polis tukiyaongea lazima tuitwe na kuambiwa tuoneshe ushahidi mwisho unaenda jela tunayo fanyiwa vituoni nimengi sana
2026-09-19 08:52:01
3
WANAMANI :
CCM ni tatizo ktk hihyo nchi
2026-09-20 03:25:59
1
Apenda Mnyone :
mmm mimi nilienda usitawi wa jamii nikaambiwa nimpe afisa ustawi pesa ya nauli