@dullypresenter: Wengi huwa na mawazo hasi juu ya vijana kutoka Arusha zaidi@wadudu lakini njee ya Camera hawapo hivyo... Hawa hapa wadudu wakijibu swali langu kuhusu maisha yao njee ya Camera.. #wadudu#chuga#arusha#iaamediatz
blessmechallenge out now #rbog4life #benbrast #banitaizer #kandayaziwatotheworld
2026-11-07 19:22:59
0
b man :
respect
2026-11-07 04:15:57
0
singlur :
kumbe wanajua kuongea vizuri ivi
2026-09-18 18:03:08
533
Omiry Jr :
nakubali kamandaa
2026-09-19 05:27:45
198
B@!!od!zzo💦💦❣❣ :
Fact xn mdudu
2026-09-18 14:14:05
141
Felix :
tunamheshimu mkubwa tunamheshimu mdogo tunapendana halafu tunaendana tunakubaliana alafu tunakubalika chege nakwambiaje mjomba umeona mimi sio kwamba eti ninaigiza au nafanya mimi hapa ni kijana naye tafuta riziki yangu kwa namna yoyote lakini kwa kuto kuiba maana kuna kuchomwa moto kabla ya kufika motoni eh ukishatamani la mtu unajua hiyo kwa hiyo mimi naogopa kuchomwa moto mwanangu nikichomoa hapa duniani na huko mbinguni hata mwajibu wa itapatikana hata msiba utakuwa umeishia hapa hapa sasa ndio maana nakwambia mimi ni mtu ninayejielewa hapa ni kamera lakini mbele ya kamera mjomba wangu kukutana na mimi unaweza usinikumbuke mimi sinakwambia unaweza ukaona ukasema huyu jamaa anafanya kazi benki au ni wapi lakini hamna riziki ndogo ndogo pia tunajua kutunza hata hivi silva kidogo kidogo kwa sababu tuna familia tunadaiwa kodi yetu mwenye nyumba lazima aje pale mwanangu sijajenga kweli sijajenga polisi uongo tunatafuta hata nilinunua hata kwa kiwanja ni ndege lakini sasa katika ile moja ya maji kuna umeme kuna nini kwa hiyo ukikaa kizembe mtaroni halafu huwezi kuvaa umependeza wale mtaroni lazima utafute mahali pazuri japo tunalala na gesi hatujajipata mjomba wangu tunalala lakini bado tunaamini kwamba tutatoka kwa store tu siku moja eh yaani
2026-09-20 19:43:16
95
Mr.Bahadur Anwar Okera :
sisi ndio wa chuga,ukweli na uhahika
2026-09-18 18:21:40
79
kp❤️ :
Maisha ya kweli kamanda 🔥
2026-09-18 15:18:00
73
Davis luyembe :
Nakubali rasta pambna mjomb angu
2026-09-18 17:36:22
39
dzernowscer :
big up bro ishi maisha marefu bro
MUNGU YUKO NAWE
2026-09-19 07:18:27
55
Godwin :
Mungu Atusaidie sana wapendwa
2026-09-19 20:01:50
13
Jdesaria (Salt Of The Earth) :
Huyu ana neno la Mingu ndani yake. Ni mtumishi wa Mungu huyu.