@pika.na.mimi: Mandi ya mbuzi 🍖🍚🔥 Harufu, ladha na utamu wa aina yake 😋❤️ #MandiYaMbuzi #MbuziMandi #Mandi #SwahiliFood #TanzaniaFood

pika na mimi
pika na mimi
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 18 September 2026 13:09:46 GMT
207836
5273
80
366

Music

Download

Comments

watatii0
bintii🤩 :
kma sina oven naeza weka nyama kwa jiko nikaweka makaa juu
2026-09-18 15:12:33
8
officialshuu42
official-shuu💞💞 :
ivi kwanini mafuta ya sikuizi yaeka mapovu najiuliza sioati majibu
2026-09-19 09:20:04
11
situ5079
situ :
akutia zagafaIani 😋
2026-09-18 15:39:55
2
trezer.elia.002
trezer elia 002 🥰 :
watumia mchele gn
2026-09-18 16:35:43
3
mubina_heena
Mubina_henna :
hiyo ni nyama ama mifupa
2026-09-19 10:03:22
2
halimaisking
Halima Adam👸 :
Thoum ni saumu ama 😂
2026-09-20 23:15:31
0
ikungajamilajamil
Garmiller Ikunger🌹💞 :
hayo majani yanaitwaj jmn
2026-09-19 07:19:52
0
zakia.mussa271
Zakia Mussa :
nyimbo inaitwa vipi?
2026-09-18 15:43:58
1
ms_dolphin.jr
safmaar❤ :
unaweza kupika ya kuku ivo ivo badala ya mbuzi
2026-09-18 16:43:20
2
naomimshona
🍭🎀Mshona🍭🎀 :
Hiv hii Thoum ni kiarabu au mbona unatuchangaya
2026-09-21 05:47:00
0
mc.vullu
Mc vullu🎙️ :
Ile nyama ulipoichuja. Vile viungo tena avitumiki si ndio
2026-09-20 09:01:24
1
user1079293325592
user1079293325592 :
weny mwil kma wang tusile jmn sku moja2 ukiamk umennp jmn
2026-09-19 06:12:31
0
asherbae6
asherbae6 :
umefanya mpk nimeku follow napenda sanaaa kupika☺️
2026-09-21 23:11:07
0
gilly.ngala2
Gilly Ngala :
mashallah
2026-09-20 17:27:24
0
mwanaherimkanula7
mwanaherimkanula7 :
tunaosikiliza muziki tujuane
2026-09-19 05:10:06
2
mozally2
mozally2 :
huo wimbo ndo maradh yangu hayooooo
2026-09-18 20:34:15
1
fatoumatadiawara774
Fatoumata Diawara :
ayo Meuse ninini
2026-09-20 10:30:35
0
user661630898
user661630898 :
🥰🥰🥰
2026-09-18 13:35:50
0
zeddy2335
hawaa :
muimbaji aitwa nani?
2026-09-20 05:09:24
0
lovemorethan100
Catherine Mollel :
Viungo ulichuja vilienda wapi?
2026-09-21 10:20:42
0
aboubakari.mzuri
Aboubakari Mzuri :
Maash-allah
2026-09-22 01:55:38
0
stopper0404
stopper0404 :
carrots huwa kwa bukhari sio mandi
2026-09-22 04:46:32
0
rajab6167
jinuu🇩🇪🇩🇪 :
spice unguza kidogo
2026-09-20 15:10:23
0
kulthum_p
Kulthum P 😍 :
maashallah tamu
2026-09-20 09:57:59
0
chimumy73
SIAH~🧕 :
Mashaallah 🥰
2026-09-18 13:55:59
0
To see more videos from user @pika.na.mimi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About