@eslomkapufi:

Kapufi
Kapufi
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 18 September 2026 13:14:32 GMT
8970
1059
35
77

Music

Download

Comments

bogalechtafari600
Bogalech Tafari :
Huyu mchungaji hapa anapindisha Biblia bila shaka kwa kusema kwamba Yesu atakuja kuwa Mfalme baada ya unyakuo wa kabisa na shetani kuhukumiwa yaani katika Ile miaka 1000. Jamani nimuhimi kukubali kwamba Biblia ni moja na maneno ya Manabii yanakubaliana hebu tosome vizuri hapo hapo Matendo 15:14-17, kwamba "Baada ya mambo hayo nitarudi na kukijenga upya kibanda cha Daudi ambacho kimeanguka, Ili watu wanaobaki wamtafute Mungu kwa bidii pamoja na watu wa mataifa yote" kama jinsi mwanzo wa kipande hiki kinavyoanza kwamba "na maneno ya Manabii yanakubaliana" nikweli kwamba hii haisemwi hapa tu kwenye Matendo bali kuanzia Agano la kale mpaka jipya Ujumbe ni mmoja kuwa Yesu atarudi kama Mfalme na atakuwa ni mzizi wa Daudi, UFUNUO 5:5, YESAYA 11:1-3/10 atatawala katika nchi mpya ya Ufalme wa Mungu Ethiopia na siyo Israel Tena Zaburi 68:31/32, Zefania 3:10/11, YESAYA 18, Amos 9:7/8, katika ujio wa pili anaishi tena na wanadamu akiwa mfalme, Biblia inaendelea pale kwenye Mathayo 24:14 "Na hii habari njema ya Ufalme itahubiriwa dunia yote kwajili ya kuwa ushuhuda kwa mataifa yote na ndipo ule mwisho ufike" yaani lazima awe mfalme duniani kabla ya parapanda kulia. lakini pia soma Waebrania 1:1-8, "6Anapomleta Tena mzaliwa wake wakwanza katika dunia inayokaliwa yeye anasema kumuhusu mwana, 8 Mungu ni kiti chako Cha Ufalme milele na milele..." kwahiyo ndugu zangu ikowazi kabisa kwamba atakuja katika dunia inayo kaliwa na siyo iliyokwisha hukumiwa. Sasa nikirudia kwa mchungaji kweli Yale majira ambayo Mungu aliweka kwaajili ya kumleta tena Yesu kuishi duniani akiwa mfalme ilikuwa ni Siri ya Mungu lakini walio watiifu katika neno watamjua kwa nguvu ya roho Mtakatifu. Basi nawasadia tu watu wafanye uchunguzi juu ya Ethiopia na Mfalme wake wa mwisho HAILE SELASSIE amabaye hakufa alikosekana, ingawa propaganda zitakwambia alikufa. MaRastafari wako na Habari Njema hebu tujaribu kufuatilia.🙏🏿🙏🏿🙏🏿
2026-09-20 09:42:54
2
bonybeichee
bonybeichee :
TUOMBE JAMANI YESU ANAKUJA
2026-09-18 18:34:08
3
.lady.kany
💫💢 lady kany :
bwana analudi jiandaeni
2026-11-07 15:32:06
1
nickson.max5
NICKSON MAX :
hakika utakatifu ndio mpango mzima
2026-11-04 19:36:05
1
user319113531712
Thomas :
amin 🙏🙏🙏🙏
2026-09-18 13:20:33
5
bahatimroswa
Bahati Mroswa :
amina
2026-10-21 12:58:10
1
user42953382438202
JAEL🇰🇪📖 :
amen
2026-11-06 15:14:18
1
user8590570813124
user8590570813124 :
hapa linalo paswa NI kila MTU awake taa yake mafuta kwakuwa hakika Yuko karibu
2026-09-19 18:36:02
2
anointingson490
ANOINTING SON :
amen naiwe ivyo
2026-09-25 11:17:27
1
archie_jr02
Archie02 :
2026-09-22 14:19:14
2
chrispin._jove
JOVEH :
Ameeen Ameeen
2026-09-22 08:02:25
1
doreeyn.beibe
chosen one with God first :
Amen
2026-10-01 16:51:18
1
roida.malekela
Roida Malekela :
Amina
2026-09-20 13:47:16
1
alice.neema6
Alice Neema :
amen amen
2026-09-19 18:07:13
1
user1751618171474
Nurse :
Amen amen 🙏🙏
2026-09-21 12:36:30
1
balaka.mwandoje
balaka mwandoje :
amen
2026-09-18 21:10:38
1
user9387651030313i
izabayo justin :
amina
2026-09-19 05:41:24
1
archimed666
archimed [email protected] :
amen
2026-09-22 21:10:30
1
cute.happy930
offical ajili💦💦💚💯 :
mungu unipe mwisho mwemaa
2026-10-07 10:02:12
1
bahaye.lucas
Naomi lucas :
mm wakisha nitakua wasirudishe tena nilio yaona nimetosha
2026-09-19 19:41:18
1
user76768198282670
Maisha jane :
kuwa mupaka asubui asanti sana
2026-11-09 09:11:41
0
petermlewa229
Peter Mlewa :
Amina
2026-11-11 19:14:20
0
everlineakwii
everlineakwii :
mungu naomba mwisho mwema 🙏
2026-11-09 07:58:22
0
aikaelaikakiwelu
Aikael :
Halelluya Nilijua tu JEHOVA YAHWEH Anatupenda Wachaga Sana Tuna hofu ya MUNGU
2026-11-13 10:00:50
0
ann.boome
itsAnn :
niukweli kabisa
2026-09-19 07:17:08
1
To see more videos from user @eslomkapufi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About