@mangi_mongi: Kwa nini? Mtu mbaya anafanya ubaya kwa sababu ya ujinga wake, hasira yake, au maumivu yake. Wewe ukimlipizia, unafanya ubaya ukiwa na AKILI TIMAMU, umeamua makusudi. Hapo ndipo unapokuwa mbaya zaidi kuliko yeye. Usishushe viwango vyako kufikia viwango vya adui yako. Kaa juu. Fanya wema kwa sababu wema ndio asili yako, sio kwa sababu mtu anastahili. 🪵 Mangi Mongi | Falsafa | Hekima #mangimongi #wisdom #falsafa #ufahamu #awakening