mim binafs kat ya Mond na kiba namkubal sana zuchu sababu nandy anaimba vzur ila wote hawawez kumfikia Saida kalol oy yule mama anaimba kam yammi vileee japo anamuiga sana rose muhando kam ule wimbo wa mwana kakuwa ule ndo wimbo Bora wa saluh tok aanze music ila mwambien abadilike asimuige sana dogo rema atapotea kama davido shaul yake yangu ni hayo tu
2026-09-18 20:25:46
52
Aiem sasha😘 :
sio alikiba hii nyimbo ya pipijojo😂😂
2026-09-18 15:58:40
27
Adrah Abdallah :
alikiba tena jmn
2026-09-18 15:38:36
8
SABRY 👑👑 :
ALIKIBA au MALUME😂😂😂
2026-09-21 10:00:39
2
Lyra girl😘😘 :
hhhu wimbo wa kajala so wa alikibaa😅😅😅😅😅
2026-09-19 17:38:45
5
chemela janeto :
mmh mbona hii ni yangu wakuu alikiba tena verse yangu hiyo
2026-09-19 07:41:35
6
Rehmy.GPG 💛💫🙏😎 :
sio wa Alikiba ni wa mama Sandra ❤️
2026-09-18 19:05:46
1
🌺Miss Dee🌺 :
mmh me nikajua kaimba maua sama kumbe niko nyuma na mda
2026-09-19 07:12:21
2
𝘼𝙬𝙖𝙠𝙚𝙣_255 :
Sio alikiba ni mejja kunta bhan aliimba 2020 kweny singeli karioke
2026-09-21 15:10:51
5
jujuu mehmety جويريه :
wimbo kaimba mama yangu 😄siyo Kiba subiry nikuwe nitakufumuwa😂
2026-09-18 19:25:17
2
Double J :
sema diamond kwamistarii toka zamani
2026-09-20 18:49:20
0
hernameisagnes :
dudu baya nd kaimba bwana
2026-09-19 14:21:21
0
Agness Edward :
MBN kaimb agness
2026-09-18 17:32:56
1
Maryann :
aaah mbona nidhani wimbo ni wa juma jux jamani
2026-09-21 11:04:14
0
evodiandunguru529 :
ila alikiba nd maan nampendaga😅😅
2026-09-19 14:40:36
0
K_Y9 :
na hiyo chorus mama chanja aliua sana
2026-09-18 23:34:48
0
It’s. me ❤️🦋sweet banana :
Alikiba au zuchu
2026-09-20 11:31:18
0
jee💰 dollars🥰 :
ila dvoice kwa kuchana ni hatari
2026-09-20 19:37:05
0
Suzy♥️🦋 :
sio alikiba ni marioo 😅
2026-09-19 17:19:03
0
Dndranaf :
Wimbo wa zuchu huo sio ali kiba 😁
2026-09-18 16:26:41
1
Ruq moms :
😁😁😁 ali kiba tena
2026-09-18 15:53:44
1
Aplus :
Ni Saida Karoli
2026-09-18 17:48:08
4
queenlizzy381❤️❤️❤️ :
bang mbaya
2026-09-18 13:36:52
1
masha milaji :
alikiba kausikaje sasa apo
2026-09-18 14:21:21
2
To see more videos from user @jovano_world, please go to the Tikwm
homepage.