@bbcnewsswahili: Mama huyu mjane alikimbia kilomita 3 bila viatu ili kushindania fedha za kumsomesha mtoto wake. Ramabai Ranveer alifanikiwa kushinda rupia 3,000 katika mbio hizo. Lakini kitendo chake kimezua mjadala wakihoji, Je, huu ni mfano wa upendo na kujitoa kwa mzazi kwa ajili ya maisha ya baadaye ya mtoto wake? Au ni ishara ya changamoto katika mfumo wa elimu, kiasi kwamba mzazi asiye na kipato analazimika kufanya mambo kama haya ili mtoto wake apate nafasi ya kusoma? #bbcswahili #foryou #fyp #indiatiktok #elimuindia
bbcnewsswahili
Region: TZ
Saturday 19 September 2026 09:00:00 GMT
Music
Download
Comments
frankismyocean18 :
God blessed Mama every day every day wipe tears give him happiness to her daughter🙏🙏
2026-09-19 16:07:08
0
George Friday & Amanda👒 :
a beautiful mother Loves her Daughters & is never ready for them to miss out on an Education,HERO MUM👑👍
2026-09-19 13:56:52
0
Isabella💕 :
Umasikini 💔😭
2026-09-19 10:39:26
25
Miss lu :
nani kama mama hongera sana mama
2026-09-19 09:08:02
68
k2g benco🌀 :
upendo wa mama
2026-09-19 09:24:16
15
️ :
I love supporting small creators 😂
2026-09-19 09:11:50
18
lulu john☑️ :
ah weeeeeh saf
2026-09-19 10:10:17
0
CATCH BLUE :
help her.. meanwhile social media👇😭💔
2026-09-19 10:14:16
0
linus :
no mother,no cry ♥️🫶
2026-09-19 16:23:48
0
ADAN ALI (TRIPLE A) 🚍 :
dola 32 ni kusema nini sasa. Hapa Kenya hiyo ni shilingi mia 320 to ambayo haiwezi kununua vitabu zaidi ya vitatu.
2026-09-19 09:28:29
4
Cartoon :
naona wamewapa hela kidogo sana
2026-09-19 10:07:31
2
VectorFlicks :
mom are bless
2026-09-19 14:34:28
0
Estar yahaya mtundi :
Neema ya muumbaji iwe nao
2026-09-19 10:57:37
3
ruwaida henna :
Hakuna mama wawili dunia 🥹mama ni mama tu🥺
2026-09-19 17:55:27
0
Rehema Abdallah :
huyo ndiomama
2026-09-19 11:36:42
2
mpumbe :
ndugu zake na mo wao
2026-09-19 09:09:13
2
Mrs frank :
nauchukia umaskini jmn 😭😭😭😭😭
2026-09-19 14:05:54
0
Adidja Makuru :
félicitations Maman 🙏🙏🙏🤲
2026-09-19 09:18:17
2
henna artist (A)❤️😍 :
Mama♥️🥹
2026-09-19 13:52:16
1
M.H. Juma :
2026-09-19 09:42:30
2
Gathi_nega :
nani kama mma hongera sanaaaa
2026-09-19 10:00:17
1
Bi ààà :
Hongera mama
2026-09-19 18:39:28
0
philomena issack mselle :
🔥🥰
2026-09-19 19:53:36
0
Sumaya Ali🇰🇪🇦🇪🇪🇦 :
SubhanaAllah
2026-09-19 21:14:47
0
Zawadi chusi :
bidii uleta bahati
2026-09-19 20:19:12
0
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.