Hakika Shekh Walid Anapendwa sana na Jamii nzima ya Tanzania..hvyo hata kama alikosea basi asamehewe kwa ajili ya Allah na Arudushwe kwenye nafasi yake ili aendele kuitangaza dini..
2026-09-18 15:00:47
17
GEM :
sasa sialipisha uchunguzi na sikaitwa hajaenda
2026-09-18 14:50:09
6
HAJI _MAKUKU 🇹🇿 :
huyo mufti ndy wa kwanza alitakiwa aondolewe hana uwezo wa kuwaongoza waislamu anatawaliwa na ccm
2026-09-18 17:31:17
13
Gentleman🙏 :
Sheikh Walid ni mifano ya mitume iliyokuwa ikiandamwa kwa kunyoosha imani, upendo, umoja na dini, ni sawa na ule msemo wa mti wenye matunda ndo unaopigwa mawe.
2026-09-18 14:18:18
19
Aboubakar :
Nimerudia hii video mara nyingi jamaa kaongea kwa uchungu sana. YA ALLAH tulindie sheikh wetu Walid Alhad tuendelee kupata Elimu kutoka kwake🙏
2026-09-18 15:32:20
26
user4512848868540 :
Na kwanini zizuke tuhuma nyingine baada ya kuzuka ilo swala la zinaa?
2026-09-18 16:26:48
9
leilamohd :
kweli kobisa maneno kutu
2026-09-18 14:24:34
11
Ayoub Yusuf :
huyu yanga lakini ana akili
2026-09-18 16:03:28
7
JO Bendera :
maneno mazima kabisaa mashaallah
2026-09-18 14:44:18
9
user311829819488nady nii :
kwakweliii
2026-09-18 13:26:02
7
Hunter :
swahihi
2026-09-18 14:08:23
6
khatibu masamba :
kk umeongea point sana
2026-09-18 17:51:13
7
Dyomboka :
Nakama tunataka itoke katika Hadithi ogelea katika hii
انصُرْأخاكَظالِمًا أو مَظلومًا، قالوا: يا رَسولَاللهِ، هذا نَنصُرُه مَظلومًا، فكيفَنَنصُرُه ظالِمًا؟ قال: تَأخُذُفوقَيَدَيه.
خلاصة حكم المحدث : [صحيح]
2026-09-18 15:29:16
6
ANGAI :
walidi kakataaaa kurudi sasa itakuajee wakuuu
2026-09-18 18:19:57
5
Recholl Nakara :
Kelele za watu ndio zikafanya kuwe na tume lkn bado cc shekh wetu tunampenda awe wa mkowa awe wa mtaaa awe wakitongoji tunae sh shekh wetu na tunampenda
2026-09-18 14:43:24
5
Tp Sainouri :
Mara kaanza kutaja nyota 😂😂😂 kwenye dini hatuamini mambo ya nyota😅😅😅😅 someni kwenye dini hakuna uchawa
2026-09-19 04:49:29
0
kalos arts :
wameona Walid anapendwa na watu ndio maana wanakua na hofu, bakwata wametawaliwa na hofu
2026-09-18 19:23:20
1
PROFESA MAKAME :
walidi yupokilasehemu
2026-09-18 18:50:13
1
Peaceman :
Hapa mufti ndio tatizo maana yeye ndio kiongozi wa juu
2026-09-19 07:35:49
4
ussain_1 :
Waliogopa awe Mufti siku moja
2026-09-18 17:59:53
2
Mrs 🤣Lonely 🥺_🤣 :
kabisa kipenzi cha watu walidi
2026-09-18 18:35:07
2
To see more videos from user @abdrash_, please go to the Tikwm
homepage.