@lucas.mbwambo51:

Lucas Mbwambo
Lucas Mbwambo
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 18 September 2026 13:31:14 GMT
47988
1187
91
17

Music

Download

Comments

husnakhatib52
husnakhatib52 :
Kila nikona msiba nataman angekuwa ndo baba mtoto wangu kwann afi wanakufa watulwengine
2026-09-19 13:33:05
2
mapambo_house_tz
🛒Gray :
labda niko nje ya mada😭 jamani, MLIO KWENYE MAHUSIANO, mna nafasi kubwa sana ya furaha na Huzuni kwa wenzi wenu. jitahd kumpenda, kumjulia hali, mpigie simu, MTANIE, mchekeshe... FURAHA YA MAHUSIANO SIO LAZIMA MUWE NA HELA✍️📌 huwezi jua naandika huu ujumbe kwa ajili ya nani LEO na KESHO. wengine tunashindwa kuingia mahusiano coz tunajua thamani ya UTULIVU WA MOYO WA MTU. msiumizane PLEASE nawaonba 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🙌
2026-09-19 06:49:15
2
_nihan09
Nihan :
Mungu wangu wanafunzi walipona?
2026-09-19 08:33:29
0
araphat08gmail
🧠🧠 :
msiba usikie Kwa mtu rip dereva wangu mbugano
2026-09-18 19:49:27
5
rose188558
DIANA🌹 :
poleni sana
2026-09-18 19:24:49
1
mhiz.teeh51
♡Fatty 💜♧☆☆ :
Na wanafunz wamefariki ett😳
2026-09-19 05:09:24
0
zcop28
ZCOP 132mty :
da asee Ina uma sana ndugu hutu apumzike kwa amani mwamba.. leo iyo mbezi lugununi😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-09-18 15:08:29
5
ibrahim.hamis21
MSAGA 06 :
poleni sana wafiwa
2026-09-18 21:03:41
1
ramadhani.kirungi
Ramadhani Kirungi :
Allhahummaghfir Pacome 🥺
2026-09-18 23:59:12
1
songi.mkata
Songi Mkata :
2026-09-18 19:21:53
1
hilaryatibu
hill....kumb :
Amina😭😭😭
2026-09-19 18:09:12
0
giimii19
Gimimi19 :
Nilionàa jamaniii
2026-09-19 18:11:11
0
suzana.daffa0
Suzana Daffa :
Magari haya jamani yana nini kwetu huku watatu matukio tofauti
2026-09-19 19:15:53
0
user3945242942816
user3945242942816 :
😭😭😭😭😭😭😭😭😭 duuuu
2026-09-18 18:29:04
0
benard7416
Benard :
Points ni muhimu kukatwa
2026-09-19 18:09:41
0
user6397839246202
mkalamo tanga 45 :
Waendeshaji wa hizo gari wanaendesha mbio mno kiukweli
2026-09-19 18:11:45
0
user9992221874418
octa :
Ila haya magari unatamani yawe na barabara Yake , maana kama hayataki ushirika na mtu
2026-09-19 18:01:06
0
pumzikamamamzacema4
RASULI MRINA :
pole sana
2026-09-19 17:55:06
0
aggycharles34gmai
[email protected] Charle :
poleni sana familia kwakuondokewa na ndugu yetu mungu ailaze roho yamarehem mahali pema peponi
2026-09-19 16:54:46
0
user8692359570901
ji2 la kufoc :
polen sana wanafamilia na madeleva wezangu😅😂😄😄☺️
2026-09-19 17:38:46
0
richard.petro97
Richard Petro :
jaman poren sana🙏🙏🙏
2026-09-19 17:32:50
0
op_madenge
omarymadenge :
😢😢
2026-09-19 20:44:52
0
kensio_12
kensio_12 :
pole sana familia ya luguruni😭😭😭
2026-09-19 18:46:09
0
tickbisehy
NIKE. ✅✅✍️ :
ahsante mungu kwayote 🙏🙏
2026-09-19 18:02:35
0
ms.maker8
Ms Maker :
2026-09-18 18:58:39
0
To see more videos from user @lucas.mbwambo51, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About