Kuna mtu alikuja nimrekebishie simu nilimpa gharama ya shilingi elfu kumi (10) kulingana na tatizo lake, aliporudi kulipa akaja na elfu tano (5k) pesa zooote zilikuwa ni sarafu, akaniomba akatafute nyingine halafu animalizie sasa katika kumtazama anaondoka nikagundua alikuwa anauza maji (kandoro) niliumia sana nafsi na nilimpatia simu yake bila kusubiri iliyobaki… kuna watu wanapambana mnoo
2026-09-18 21:21:51
1014
Afri tam tam :
jamani hata wenye 10000 kavu (note ) tunapambana haswa ila Kuna mtu aliomba chenji tu
2026-09-19 05:47:39
253
mulastar255 :
Huruma sio malezi
2026-09-19 10:42:42
157
Mariam Ndamu :
🥰🥰kuna wafanyabiashra wenye hofu ya Mungu naww upo dada ubarikiwe sana.
2026-09-19 05:51:19
350
EmjayE-el :
Dada Gob bless you!
2026-09-20 21:29:10
0
dioly 23 :
hongera sana
2026-09-19 11:34:47
1
Rebel Queen :
Mi mwenyewe kuna muda mteja anakuja na buku buku zinanuka arufu ya kibubu ananunulia watoto nguo huwa nampa nauli na huwa namnunulia soda maana najua kapigana vikali
2026-09-19 09:51:16
50
joseph :
wema uo sinaaaaaaa
2026-09-19 02:37:26
44
Erick msafi :
WAKRISTO WENZANG TUMSIFU YESU KRISTO 🙏 🙏🙏🙏🙏
2026-09-19 20:40:34
12
ronenjenga :
mungu akupe umr mlefu🙏🥰
2026-09-18 19:35:40
71
Tupevilwe Ndelwa :
haswaaaa
2026-09-19 07:51:03
1
zakayobakari :
business is a power of bargaining
2026-09-20 06:37:06
1
ngosha 0769352825 :
Mungu akulinde dada kama unauzao wako pia ubarikiwe sana 🙏🙏🙏🙏
2026-09-19 09:23:01
16
Teroh mshuer :
sawa kabisa
MUNGU WABARIKI WAPAMBANAJI WOTE
2026-09-19 06:34:38
12
minah beut saloon :
ni kweli kabisa mama
2026-09-18 15:19:53
34
catherinechales :
mtu anakuja kula chakula lkn namna anavitoa hiyo 3000 adi unaamua kumwambia kula tu hiyi utafanya nauli nyie mtu analiaa anaishia kusema tu dada mungu akubariki basi
2026-09-19 07:49:20
14
BIG 👟🩴🥿👡VIATU :
kabsaaa Mrs
2026-09-19 08:50:57
1
Mohammedy DSM :
Aiseee mimi kuna mama aliniletea milion 2 alikuja kununua tofali niliesabu hadi kichwa kilipata moto hela zenyewe kama ilikua anaziweka na mkaa😂
2026-09-19 08:20:33
10
UFUNUO 🇹🇿🇰🇪 :
niliwahi muuziya nguo Mzee mmoja
alikuwa na masile sile tu kumbe anauza lamba lamba shulee😭
2026-09-19 11:46:21
11
PHOTOSHOOT :
kwer jaman watu wanjombe tunapigwa sana juz nimenunua jagi lakuchemshia maji elfu95
2026-09-18 20:35:06
72
🦒 wa mzee omary💫💫✨️ :
nakumbuka momy alinipa lk4 za buku buku😂
2026-09-19 05:05:14
6
noreenasia :
kweri kabisa
2026-09-18 16:49:06
9
smile😇 :
tuoneeni hurum jamn tunazitunza kwa tabu [Pleading]
2026-09-19 09:52:23
6
Ezekia :
kwahiyo sisi wenye 10000 mtupige au
2026-09-18 20:06:59
24
To see more videos from user @userirene21, please go to the Tikwm
homepage.