@saidtzaayotv_znz:

📞Me - Dswagga
📞Me - Dswagga
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 18 September 2026 13:33:11 GMT
34295
1189
139
254

Music

Download

Comments

arryshbabe
❤️‍🔥♑️ :
Ni kwel jmn paje
2026-09-18 16:04:51
2
lost3512
LOST :
Hiy taarifa mbn sikuisikiya kweny habar za mawio😂😂
2026-09-18 17:50:57
1
abdul.alriyamy
Abdul Alriyamy :
waongo bn mbn sisi mabachela hatuna habari
2026-09-18 15:54:39
5
bayser_83.com
Bayser :
Ahh mnazua mambo iyo lini na mbona izo nafasi hazikutangazwa
2026-09-18 13:39:11
7
ashamkadam670
ashmid :
uyu bwana harus w nan😁😁
2026-09-18 17:29:23
3
zahaal_zein
zahaal british :
ebu mara mhalifu wangu yupo apa maana hapokei sim tangu majuzi
2026-09-18 18:04:33
2
noursheed_adventures
noursheed_adventures :
Mi mi sijuwi
2026-09-18 14:32:24
1
vanecute0
@rehsuly55 :
Na pesa ya kula pia wapew kabisa
2026-09-18 17:17:01
1
user1262816003150
user1262816003150 :
sio kweli coz mm ndio mwenyekt wa vijan wa znzbr ila sjaskia kwa kaazi wal serkali
2026-09-18 18:15:30
2
hammerq_znz
Hammer Q Zanzibar👑🧿 :
Watu wamejiamulia mambo kimya kimya 😀
2026-09-19 02:21:19
1
ismail.hassan07
Ismail Hassan :
wapi hio mbon taarifa hatuna
2026-09-18 15:14:03
1
mututu64
Mututu :
sasa mbona kmya kmya nasisi tunataka izo Bahati vooo
2026-09-18 14:02:23
1
binhaji15
binhaji :
😂😂 vijana wenzangu tulieni itafika wakati wenu
2026-09-18 18:05:53
2
kassriz.kc
Kassriz KC :
Kwhy wake wakutaftiwa au niende na Mwamize wangu😂😂😂
2026-09-18 17:22:38
0
user056444194
Steiner :
Wanaoishi paje ndo wanajua
2026-09-18 16:03:37
0
dogorege
Rege :
Na sisi tunatak izo nafasi
2026-09-18 15:17:52
1
user1839451805461
user1839451805461 :
nlikuwepo
2026-09-18 18:37:33
1
abinelgodanchiduo
Abby wa kilosa :
sasa huku ndio patanifaa
2026-09-18 18:37:15
1
kassim.zinjibaariy
Kassim Zinjibaariy :
Zanzibar gani hii na mm nipo hapa hapa sijasikia
2026-09-18 17:04:07
1
issaballa639
Issa Balla :
sio kweli
2026-09-18 15:01:53
1
abuu_19
Abuu Reelan :
lini hiyo mbona sina taarifa
2026-09-18 14:14:58
1
julaybeeb_muh
julaybeeb🔵 :
hebu tuwaone na hao wake😁
2026-09-18 15:16:08
0
salum.don
salum don :
jaman vp mm nataka kuongeza nifanye nn nipate mahari
2026-09-18 18:26:13
1
mohd.mbaraka
Mohd Mbaraka :
doh mbona mm sina habari nikajinusuru
2026-09-18 18:08:33
1
skinbybillat
Billat..Beauty :
comment zote za wanaume😂
2026-09-18 17:13:26
1
To see more videos from user @saidtzaayotv_znz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About