@user657050226:

Nass di Zanzibar
Nass di Zanzibar
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 18 September 2026 13:38:16 GMT
42147
1215
83
191

Music

Download

Comments

user146821867
user146821 :
lets respect each religion
2026-09-19 12:59:49
0
user6884886976169
user6884886976169 :
zanzbar imekwisha daaaaaaaaahhhhh yaninomasana wanatuletealaana
2026-09-19 09:28:50
0
mshangazi.badra
Mshangazi Badra :
zanziber rahaa anaye taka naajee🥰
2026-09-19 04:49:34
6
ruurama
ruurama :
kwaiyo hawamtaki Tena au washapata mwengine
2026-09-18 16:56:49
27
hkhamis1
Strong woman :
Sio mungu ni sanamu unakosea kusema hivyo mungu ni 1 tuu hakuna mwengine
2026-09-18 17:57:28
22
ramfa25
jaffarmohammed299 :
kaexpare
2026-09-18 18:49:39
1
ladyruu2
ladyruu2 :
kwaio wakishamtupa watakula nn leo au washapata wa kuwapa riski leo
2026-09-19 07:34:16
3
choloboybriz3
choloboybriz :
nchi ina hekaheka hii dini zote zipo😂😂😂
2026-09-18 15:20:09
7
user647252440
Maryam :
ss uyoo mung wanamtupaa alfu watapt wpi mungu mwengine 😂😂 jmn
2026-09-18 17:04:09
8
nuhda_henna
Nuhda_henna :
Wanamtupa wapi ss tuambie😂
2026-09-18 21:54:01
0
almaalmisk1
ألما ❤️ :
Mtihan huu
2026-09-19 05:25:02
1
tegebwaiy7
tegebwaiy :
zamani apo watoto wa kiswahili tushajichanganya kati ama kweli saiv hawachezi wanachezea simu tu sote tunakua baniani
2026-09-18 19:06:25
3
user4260948574157
user4260948574157 :
kwaiyo hawamtaki tena au
2026-09-18 19:39:36
2
ali.bilali63
billy :
kwaiyo mungu anatupwa
2026-09-18 15:56:16
2
user1041483317631
user1041483317631 :
ata kigambon sunrise nliwah kukutana hii kitu.
2026-09-18 19:03:40
1
abdullateefmohamm4
KKIT :
mimi ninge cheza huo mziki tuuu maanasio poa
2026-09-19 06:26:37
1
chalii613
dodra :
sas izo pesa mungu z nin😅
2026-09-18 18:15:42
1
zinjibar.44440
zanzibar ❤️zaman :
jamani mbona haya mambo zanzibar yamekuwa mengi hivi hichi nikisiwa mjuwe adhabu ya Allah hatuiwezi SubhanaAllah 😭😭😭😭
2026-09-19 04:55:13
1
zulsham08
zulf@t heen@💕❤️💫👌 :
zanzibar ni njema atakae aje🤗🤗🤗🤗🤗😍
2026-09-19 16:56:58
0
mamiy_chimyu.coll3
mamiy_chimyu.collection👠👛 :
mungu anatupwa 😂😂
2026-09-19 09:05:49
0
spitrosaidali976
spitro :
huko ni zanzibar
2026-09-19 16:01:39
0
asha80202
asha80202 :
salama
2026-09-19 12:16:32
0
asha80202
asha80202 :
iyo ali
2026-09-19 12:15:46
1
user53014026705520
tahnia :
mbona kama foro
2026-09-19 09:21:20
0
user657050226
Nass di Zanzibar :
Iyo Kweli hatari ila salama
2026-09-18 15:37:12
0
To see more videos from user @user657050226, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About