@nanarivomrisho: FUPI LAKINI TAMU ZA KUVUTIA USIZIDISHE DOZI❤️ 1:❤️ nakupenda kuliko unavofikiria. 2:🥰 Asante kwa kua sehemu ya maisha yangu. 3:❤️wewe ni sababu ya maisha yangu. 4:🌹ninajivunia kua na wewe. 5:😘 kila siku wewe ni zawadi kwangu. 6:💝 ninathamini kila unacho nifanyia. 7:💫 uwepo wako unanipa amani ya moyo. 8:🥹 nipo apa kwa ajili yako kila siku. 9:❤️ hakuna mtu anayeweza kuchukua nafasi yako moyoni mwangu. 10:👑 wewe ni mmoja wa vitu bora vilivyowai kutokea maishani mwangu. 👇Ni ipi ungependa kusikia kutoka kwa mpenzi wako?#sms4love💘 #nakupenda #lovestory #kenyantiktok🇰🇪ticktoktanzania🇹🇿
nanarivo❤
Region: TZ
Friday 18 September 2026 14:03:34 GMT
Music
Download
Comments
SarahOutfit✨ :
mtu ambaye hakutafti Hadi umtafte ndo umtumie hiyo sms kweli nitasave kwa ajili ya baadae
2026-09-19 13:09:16
23
रिस्महतुन🍎🍎 :
Single girl
2026-09-18 19:33:17
1
Rebeca :
Samahani ila namba 3 ni MUNGU pekee ndio sababu ya maisha yetu
2026-09-19 14:29:12
7
@ummy ima :
miss you my heart husband💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯
2026-09-20 13:35:04
0
Rofrey The cute :
aibu ya kwnz ni kujitumisha sms
aibu ya pili ni kuishiw ku blue tick bila kujibiw
aibu ya. tatu ni kujiona nyumbu
2026-09-19 18:05:28
5
Careen🌹😇 :
Ngoja ni save kwa ajili ya baadae lolote linaweza tokea😂😂
2026-09-19 06:13:33
9
I am E🌸 :
Siwezi jizalilisha kamwe[Tears of joy]
2026-09-19 06:31:20
4
anny❤️ :
haya wenye wapenzi wa kueleweka Kuna ujumbe wenu huku😏😄
2026-09-18 16:06:35
9
Irene massawe :
Ineed you my man❤️
2026-09-19 19:26:18
0
Tee :
Ukishaanza kuwa serious tuu kwenye mapenzi ndio unaachwa🥲sokapo hapo Mapenzi😄
2026-09-19 14:07:15
2
Rey simba :
NAMBA NI UONGO
2026-09-19 12:29:54
0
DALALI KIM GOBA :
Ntaambiwa Ai😂😂😂
2026-09-19 04:28:16
0
Madam sima :
Nimejibiwa seriously na cheko juu😂😂
2026-09-19 16:02:00
0
Kelly🍫 :
ningekuwa na mtu ningemtumia🥹
2026-09-19 12:58:06
1
Miriam Mbise :
kwann nijidhalilishe
2026-09-19 11:13:13
0
Minza :
Jmn humu ndani wazima?me napita tuuu😭🚶♀️
2026-09-19 18:42:26
0
C.E.O 🫂 :
zawadi bora
2026-09-19 10:01:57
0
☘️🫧Giant Naiverah☘️🫧 :
Hapana 😂😂
2026-09-19 11:11:14
0
Doreen@Tz :
jina la wimbo na muimbaj plse
2026-09-19 19:48:57
1
user8732641392716 linah :
🤣
2026-09-19 14:41:27
0
Ney Dickosn :
Sisi wakina Irene tukae pemben 👌
2026-09-19 10:01:13
0
🦋~dove~🦋…!! :
Kasema iyo post nimeiona kwa nanarivo🥺
2026-09-18 16:48:27
0
nadya_🌹🌹 :
kwanin nijiharibie mood wakati najitambua na ninajua nafasi yangu
2026-09-19 17:17:58
2
mankashoo2025_shoes kariakoo :
Mh
2026-09-19 04:53:00
1
blessings :
mama yangu pekee
2026-09-18 22:38:34
0
To see more videos from user @nanarivomrisho, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.