Acheni tabia yakuunganisha video za kur-an na upuuzi mwengine
2026-10-17 05:18:48
32
Abuw Zain :
sababu ya laaana ni nin?? unajua nin kinapelekea mpaka mtu anapewa laana?
2026-09-18 18:38:13
52
Mrs Abdallah🥰❤️❤️ :
anaetoa laana ni Allah pekee jmn hakn binaadam anatoa laan
2026-10-19 17:51:26
1
cench20 :
sishare
2026-10-15 11:28:37
2
Sohaan 💕😍 :
Wala ujafanya sahihi, Allah hampendi mtu yule anaelaani wenzie. Tumia kauli nzur Ili wengine wavutiwe na kuupenda Uislamu
2026-09-19 18:27:30
32
𝒛𝒖𝒖𝒉 𝒃𝒂𝒃𝒚 :
Elimish wat vizur nasio kuwalan kwasababu mtu anawez akashea ili asilaanike ila sio kushea kwa iman kwaiy waelimish wat kwa iman
2026-10-18 10:45:33
3
Subira h :
Bismillah Rahman rahim tafadhalini jamani tena msitafute followers kupitia quran tukufu sisi kwa hakika tutashare kwa ajili ya kusambaza elimu iliokua njema kwa yule mwenye yakini
2026-09-20 10:34:10
18
boy :
Allahu Akbar
2026-10-16 19:00:06
1
veronica :
allah akbar mwenyezi mungu tupe kauli nzur
2026-09-19 09:49:30
16
OMARI OMARI :
Allah hawapendi wale wenye kuwalaani watu
2026-10-07 06:43:22
6
ally sendos :
acha kuwahukumu watu
2026-10-18 14:00:00
1
miss.arjok🎀👻 :
sio kila kitu ni cha kutoa laana na Allah hampendi yule anayetoa laana kwa wengine
2026-10-18 05:15:40
2
Hacker :
achane hay mamb ya kusema mtu alaaniww waumin wnzang
2026-10-16 20:17:23
2
Queen waa 😍 💖 :
usimlazimishe mtu kuangalia kwa kumwambia maneno mabya km ayo alaaniwe bali ungeeka ukumbusho kwa wenye kuamni
2026-10-06 16:06:11
3
so pretty😘😘 :
Allah tujaalie mwisho mwema
2026-09-19 18:41:40
7
Khutba Hmwinjuma :
subbehana Allah
2026-09-20 05:05:14
3
Mariam Salim :
kwa nn alaaniwe ? mweny haki ya kulaani viumbe ni Allaah tu
2026-10-04 16:52:38
3
user7234375209136 :
subhanallah allah akusameh mana hujui ulitendalo
2026-09-20 06:59:26
2
user1691493934026 :
Allah Akbar
2026-10-10 18:32:10
1
Familyg Vasco :
kabla ya kulani mtu hulaaniwa mwenyewe kwanza
2026-10-10 04:20:29
1
Marium Mamba :
Ya Allah tujaalie mwisho mwema
2026-09-20 04:30:02
1
Wiezzy black 85 @gmail.com :
Allah tujaliee mwisho mwema amini
2026-09-19 20:38:16
4
gogoluxuryhub :
sio maneno mazuri ya kuweka km laana jmni
2026-09-19 21:12:26
2
user1480766184552 :
Msiwafukuze watu Kwenye Dini...Dini Ni Kupeana Nasaha Sio Kulazimishana au Kupeana laana...
2026-10-17 11:21:43
3
To see more videos from user @alalamzeyd, please go to the Tikwm
homepage.