@my_fuso: (NAMBA YA MCHANGO 0746689899 JACOB PETER MUHICHE ). . Nimeangalia hii video ya Dereva mwenzetu SHAUR MBAO aliepata ajali tangu mwaka 2022 na kupata madhara kwenye uti wa mgongo na kupelekea kulala chini huu mwaka wa nne amekuwa ni mtu wa kugeuza kubeba kiufupi mke wake anamfanyia kila kitu Niwaombe ndugu jamaa na marafiki wote wenye mapenzi mema tumshike mkono huyu Dereva mwenzetu awezekupata hela aende kwenye matibabu INDIA 🇮🇳 Ka moyo wa Upendo naomba vile utakavyoguswa wa kutuma 100 , 200 hata 1000 chocolate kile ulichojaaliwa tunaomba msaada wenu. Tunaiomba serikali yetu sikivu chini ya amiri jeshi mkuu mama @samia_suluhu_hassan kutushika mkono kijana wenzetu asaidike tunaomba ndugu msemaji mkuu wa serikali @gersonmsigwa tunajua Una Upendo mkubwa sana na madereva ndio maana umekuwa karibu na sisi kwa kipindi chote tunakuomba Tena kwa Upendo usituchoke vijana wako tumekuja tunaomba msaada juu ya kijana mwenzetu aweze kusaidika akapate matibabu INDIA 🇮🇳 tunaimani maombi yetu yatafika kwa wepesi na tutasaidika. Kama madereva tunatanguliza Shukrani zetu za dhati kwa yeyote atakaeguswa na hili 🙏🏽
inauma bro pole sana Kila kinachotekea kina sababu tumtangulzen sana Mungu Kila hatua
2026-09-18 16:18:47
14
ANOD JIFT :
Brother pole mungu akujalie uludi rood
2026-09-26 16:58:09
6
ochu :
isha allah mungu atakuponya allah atasaidia kw sote wapambanaj
2026-10-17 21:14:19
2
ochu bey :
pole san kaka
2026-09-22 09:18:28
1
ramadhan :
dah pole xan broo mungu yupo pamoj naww
2026-09-27 14:17:03
1
💦 OFFICIAL ~JIMMY :
pole san ka mkubwa duuuh akika inasikitisha san
2026-09-18 15:32:44
2
azizi jr 2007 :
dah pole sana kaka changamoto ni moja maisha one day tu michezo itaendelea kama kawaida brother angu
2026-09-27 16:22:36
4
🏝️SMILE ~ KIDD :09🌴 :
brother pole sana hadi umenitoa machozi kabisa@😭😭😭
2026-09-28 11:05:03
3
FAY LASUFY :
dah pole saana kaka sema ndo hivo mipango ya Mungu tukisema tuache udreva sijuh tutafanya nn
2026-09-28 19:19:02
2
Bless de alha :
pole sna kk mungu akufanyie wepes
2026-09-28 06:21:24
2
mudy sam :
Pole Sana brother mung ndo mwezaah wa yoteeh blooh napia utaponaah bloooh
2026-09-28 08:38:03
2
shephady 4️⃣5️⃣🔞 :
dah jaman anaongea yeye machozi yananitoka mimi
2026-10-11 23:55:23
2
yakobo daniel :
pole sana kaka mungu u pamoja na wewe utakaa sawa2😭😭😭
2026-09-27 20:36:21
2
Dee rasta :
pole sana faza😥
2026-09-27 18:08:19
1
James 👑👑 :
pole kaka mungu atakusaidia utasimama ten 😭😭😭
2026-09-23 15:43:16
1
Elisha Dpr :
jamani hili tulione jamna🙏🙏
2026-09-26 22:51:13
2
BINT OMMY OG 🇹🇿 :
POLE SANA ALLAH AKUFANYIE WEPESI AMIIN 🤲🤲🤲🤲
2026-09-18 14:59:32
4
Benni abdallah :
pole Sanaa kak
2026-09-26 20:07:21
2
metusela kinyamweziii :
pole bro utakuwaa saw kuwaa na imanii na munguuu broo utaponaa tu ww kikubwaaa vumiliaa bro kwa kila kituu munguu ata kuwekaa saw tu bro kila kitu ni munguuu bro ila usichokee kusaliii bro utaponaaa naimanii utaponaa bro
2026-09-28 17:55:20
3
official Vallence :
daaa eeeh mungu naomba uturinde madera
2026-09-19 16:50:45
3
To see more videos from user @my_fuso, please go to the Tikwm
homepage.