@isaka.izraleli0:

Isaka Izraeli
Isaka Izraeli
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 18 September 2026 14:31:24 GMT
23089
1764
78
79

Music

Download

Comments

elipokea.mmary
Elipokea Mmary :
Jua la haki [Red heart][Red heart][Red heart][Twin hearts]
2026-09-19 10:17:15
1
blackhebrew97
LBR :
Nakumbuka rafiki yangu Mussa, ambaye alikuwa jirani yangu kazini. Wakati huo, alikuwa hapendwi sana na boss wetu. Akaomba likizo ya wiki mbili, bila kujua kwamba wakati akiwa likizo, mipango ilikuwa tayari imefanyika ya kumfukuza kazi mara tu atakaporejea. Lakini Mungu alikuwa na mpango mwingine. Akiwa huko alikoenda kwa ajili ya likizo, Mussa alipata kazi nyingine moja kwa moja—kazi ambayo haikumlazimu hata kurudi kazini ili akafukuzwe. Hakuja tena. Hii imenifundisha jambo moja kubwa: si kila mlango unaofungwa ni hasara, na si kila kinachoonekana kama setback ni mwisho. Wakati mwingine Mungu anakutoa mahali kwa namna usiyoitarajia, kwa sababu tayari amekuandalia mahali pengine. Mipango ya mwanadamu inaweza kuwa tofauti, lakini mpango wa Mungu hauwezi kuzuiliwa. Mungu ni muhimu sana. 🙏🏽
2026-09-19 15:55:23
12
user6236205445298
@Eunice :
ameen and ameen
2026-09-19 17:51:37
0
juja1271
juja :
Amen and Amen
2026-09-19 18:18:11
0
peter.mhondela
Peter Mhondela :
past amen 🙏🙏🙏
2026-09-18 22:33:13
0
zahabubonane428
Zahabu Bonane :
Jua laaki liniangazie.
2026-09-19 03:30:27
6
ethannaomi2
ethannaomi2 :
Jua la haki liniangazie katika maisha yangu[Pray] katika jina la Yesu kristu
2026-09-19 19:06:43
1
elmlawatu957
mlawatu :
jua la haki liniangazie mimi hapa katika jina la Yesu
2026-09-19 08:49:53
4
user7847674605042
salma :
ila wanadamu mmmmh naomba hekima nisiwe sababu ya mtu kuharibikiwa
2026-09-19 07:28:56
10
ethang5253
EthanG :
mungu anatupendelea sanaa
2026-09-19 06:44:37
2
neema9027
neema :
juwa la haki liangazie maisha yangu yote kwajina layesu
2026-09-19 11:14:55
1
thunderstorms053
Vance vision :
Amina Amina jua la haki kwa kweli
2026-09-19 08:12:33
1
sabinawilson21
Sabina Wilson :
Ameeeen
2026-09-19 10:19:02
2
wivinefwanuti
Wivine Fwanuti :
amina amina amina
2026-09-19 05:10:43
2
samoraomari
Samora Omari :
Jua la haki, liniangazie 🙏🤲
2026-09-19 08:09:46
1
richardkin3
Kingi safari guide Tz🇹🇿 🌏🌠 :
Aminaa
2026-09-18 16:57:00
1
user5187614201705
Rebby Mamaa Africa :
Haleluyaaaa
2026-09-19 17:03:49
0
chimagulishema
chimaguli shema :
Amina
2026-09-19 16:52:53
0
noahsmile281
Noah Smile :
Amen
2026-09-19 18:46:16
0
user171615381986
user171615381986 :
Amina jua la aki
2026-09-19 16:29:10
0
suleimanmnyama687
suleimanmnyama687 :
Amen 🙌 🙏 🙌 🙏 🙌 🙏
2026-09-19 15:55:14
0
veronica.obadia7
Veronica Obadia :
🙏 amen
2026-09-19 15:43:57
0
maryg.kakilla
MaryG Kakilla :
amen
2026-09-19 15:27:34
0
user43814465946316
valacya :
AMEN 🙏🙏🙏🙏
2026-09-19 15:20:58
0
user6187247571886
user6187247571886 :
Amina
2026-09-18 19:29:52
0
To see more videos from user @isaka.izraleli0, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About