@islamicswahilinet: NI SURA IPI INAYO MALIZA KWA KUTAJA MAJINA YA MITUME? Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet

Islamic Swahili NET
Islamic Swahili NET
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 18 September 2026 14:34:17 GMT
208057
23775
540
206

Music

Download

Comments

rahmahamad928
Rahmat💕 :
Surat A'laa,Na mitume iyotajwa ni Nabii Ibraahim( A,S) na Nabii Mussa (A,S)
2026-09-18 16:14:34
198
masoudmuhammad781
mkweli muaminifu :
suratul A'laa EBRAAHIMU A.S,MOUSA A.S
2026-09-18 14:58:11
40
user1608825988581
Abuu Salim mbarak :
suhufi Ibrahima wa Mussa Sabbi hisma.
2026-09-18 19:26:33
95
ladhayapwani2
LADHA YA PWANI🌴🍹🍸 :
Ni aya ya mwisho ya Suratul A‘la, aya ya 19. Imetaja Mitume wawili: Ibrahim na Musa عليهما السلام. صُحُفِ إِبْرَاهِيمَ وَمُوسَىٰ “Vitabu vya Ibrahim na Musa
2026-09-22 18:27:50
5
nasma.nalapa
Nasma Nalapa :
surat A'llaa(sabihisima)mitume iliyotajwa Iburaahim(a.s)na mussa(a.s)
2026-10-05 11:48:49
16
mashalonka
DR.GREEN :
suratil Aila (Sabih Sma Rabikal Aila),aya inamalizika kwa kuwataja nabii Ibrahim &Musa,"Suhufi Ibrahima Wa Muusa !."
2026-09-22 19:10:21
6
bikhadijah2
꧁𝑲𝒉𝒂𝒅𝒊𝒋𝒂 𝑻𝒂𝒓𝒊𝒒꧂ :
Sura inayomaliza kwa kutaja majina ya mitume wawili ni Surah Al-A'la.🥰👇 Inna haadha lafis-suhufil-oolaa. Suhufi Ibraaheema wa Moosaa." (Sura Al-A'la 87:18-19)
2026-09-24 16:33:41
6
user6990336243655
Da Dope Boy :
Al ala
2026-09-22 17:23:54
5
mansurykhani
mansurykhani :
inna hadha lafisuhufillh uula suhufil Ibrahima wa mussa
2026-09-18 18:34:30
22
habibujenga
Habibu Jenga :
surat al-alaa iburahim na mussa
2026-09-19 03:20:59
22
ramadhanisaid479
KING OF LOVE :
surat A'alaa suhufi IBRAHMA WA MUSSA
2026-09-23 15:14:29
8
user5685020477624
@Hongoa :
suhufi ibrahima wa musa
2026-09-20 08:11:51
7
user7149111208630
💞safira66💞🥰😍 :
AL-A'la
2026-09-18 14:47:46
5
mwanaisha.chinyav2
Mwanaisha Chinyavu :
suhfii iburahima wa musaa suratul Ala
2026-09-25 20:52:49
6
kb_boy_900
nanou :
Surat al anla ( suhfi ibrahim wa Mussa) ayat
2026-09-18 14:57:31
6
said.juma68
Truth is bitter :
Surat Al-A‘lā
2026-09-18 14:59:32
7
muruararuki
muruararuki :
suratul Alaa. suhfi iburahima wamusaa
2026-09-20 14:56:09
11
user7882952598484
Mdee girl :
sabihisma
2026-09-19 10:41:05
1
yshah500
Yshah :
suuratul al,aala
2026-09-20 12:21:23
1
captern.1
musty tz :
Sabii isima
2026-09-29 06:25:40
1
aisha.juma8237
Mambuwe collection :
Al alla - ibrahimaaa and mussa
2026-10-10 10:06:49
1
maashallah.tabara23
%🌹🌹Baby face%🌹🌹 :
surat li a'ala
2026-09-24 03:51:31
3
user62618433320598
Mr. kipozeo🤲 :
innahaza lafih sukhur hula sukhuf ibrahima wa mussa
2026-09-19 12:04:46
3
allyallyathuman15
Ally Ally athumani :
sabbihisi marrabbika
2026-09-20 14:39:23
2
mwizaifrah
username :
Al -A'laa
2026-09-18 19:05:02
1
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About