ndo nshaoa au kuolewa na mtu wa shetani nikimwacha Kuna dhambi
2026-09-18 14:59:04
1
Almost there 💁🏽♀️ :
Watu wenye sense ndio hawa...preaching real gospel teaching real warfare....Ni balaa
2026-09-18 15:23:37
2
beiz119 :
Mungu tusaidiye 🙏🙏🙏
2026-10-01 17:02:12
0
East African Cuisine :
weka mafunzo online wale tuko Kenya pia skize hayo mafunzo🙏
2026-09-19 09:40:38
2
apostle Michael :
apostle napenda sana mafundisho yako
2026-09-27 18:32:28
0
Ms p💗👑 :
yaani siku yako kila nkitoka TikTok nkirudi hii ndio video naikuta
ata nilizima data masaa yapata sita lakn still naikuta tu ndio ninaanza nayo🙏🙏🙏 ujumbe huu unanihusu Nina Imani nayo sana. Be Blessed Man of GOD
2026-10-05 17:46:44
1
Lizi Munyoki :
yes kweli kabisa
2026-10-04 17:50:07
0
mims :
kuna ndoto inanisumbua
2026-09-28 10:28:05
0
Gracious :
Ikitokea umeishaolewa na mtu kama huyo nifanyeje? Kumuacha ni soln
2026-09-20 22:06:37
0
Yaredi mtokambali28 :
amen nimekuelewa san. man of God
2026-09-20 21:16:22
1
madam vero💕🦋 :
Mungu atusaidie
2026-09-20 10:24:24
1
Ngonifaceless channel :
1WAKORINTHO 7:26-28
26Basi, kutokana na shida iliyopo sasa nadhani ingefaa mtu abaki kama alivyo. 27Je, umeoa? Basi, usitake kuachana na mkeo. Wewe hukuoa? Basi, usitake kuoa. 28Lakini ikiwa utaoa hutakuwa umetenda dhambi; na msichana akiolewa hatakuwa ametenda dhambi. Hao watakaooana watapatwa na matatizo ya dunia hii, lakini mimi ningependa hayo yasiwapate nyinyi.
2026-09-18 21:05:48
1
Zita Salumu :
yaan unaongea ukweli
2026-10-01 15:14:54
0
Janet Mathew :
Apostle unamsaidiaje mtu ambaye yupo kwenye ndoa na anapitia hizo changamoto??
2026-09-18 15:37:52
0
warumi11 :
Hayo ni maisha uangu kabisa mtumishi
2026-09-20 16:19:03
0
m. Austin :
Ukweli kabisa
2026-09-18 15:20:27
0
debbydelicious01 :
Iyo ni kwel 🙌🙏
2026-09-19 04:36:12
0
Magalie Wa Jesus Christ :
Kabisa
2026-09-20 12:48:28
0
prophet TD Jonathan omoto :
ni kweli kabisa
2026-09-22 14:18:37
0
alalirose :
kweli kabisa kabisa, akijua mipango yaangu kabla itendeke haaki haaitatendeka,
2026-09-19 11:17:11
0
devidikawilliam :
ukishuka sinza kwa lemi unaulizia wap?
2026-09-19 10:35:06
0
Prophetcharles :
hiili jambo nikweli
2026-09-18 16:55:44
0
To see more videos from user @gcangel1, please go to the Tikwm
homepage.