@technamimi: TECH NA MIMI | EPISODE 1: PART 5 Je, AI inaweza kuja kutuondoa sisi binadamu duniani? 😨 Fikiria dunia yenye AI ambayo hatuwezi tena ku-control wala kuiongoza. Nini kinaweza kutokea? 👀 Nakusishi sanaaa, Usikose Part 6 inakuja na jaribio la kutisha la AI kutoka Hugging Face. Usikose! #TechNaMimi #AI #ArtificialIntelligence #HuggingFace #techtok
hakuna kitu kitakuja duniani kitaishinda binadamu akili, hata iweje. hakuna program yeyote hapa duniani ambayo haiendi kwa command ya binadamu, ikisha useme program hio itashinda binadam na kuwatoa binadam hapa,
Yan hufanyika hata research unakuja unasema tu kwa upumbavu,
2026-09-20 04:24:25
1
Maven Godhealed :
AI bado Sanaa yani haiwezi kupita uwezo wa binadamu period! ai ni kama mdori tu hauwezi kuwa mtu... extinction haitokei kizembe ,a human has capability to fight over hizo AI, kikubwa tukubali changes we don't have to be comfortable
2026-09-18 21:20:50
3
Putinn Inertiav :
who we bring it to the world rather the himani himself from my point of view this is nonsenses on being extinction as we control
2026-09-19 08:39:42
1
kamugisha kafuruki :
Fantastic homie
2026-09-18 15:40:00
3
F E I S A L Y :
noted
2026-09-18 16:36:53
2
luckymalika04 :
Keep the episodes cominggg...love this!
2026-09-19 08:07:58
1
Victor Wilbard Mlaki :
yes, loss of biodiversity
2026-09-20 04:28:19
1
user13657930008166 :
yes
2026-09-18 17:12:43
2
Masoud Kilalangongono :
much respect doctor mshani tisha kama njaaa
2026-09-18 19:24:51
1
herimornchriston7 :
yaaah ilo swali itegemee sasa motives ya hiko kitu , kama akiwa nabii au malaika then anaweza Linda binadamu ila kama kinachokuja kinalengo lakuangamiza kitawaangamiza na kitafanikiwa kwasabb kimewashinda akili
2026-09-19 10:21:38
1
Positivemind♥️🇹🇿 :
hakuna Ai bila human being hicho kitu hakipo
2026-09-19 04:20:41
1
Maisala Evarist💌 :
Hakuna kitu AI anakijua na binadamu akawa hakijui kabc wakati yeye anatumia maarifa ya AI ko huo ni uongo labda umgesema itasababisha kuchukua baadhi ya nafc za kazi
2026-09-19 04:45:12
0
Dotkay Beauty :
Ni wa ha he sana watakuelewa
2026-09-18 18:45:47
1
uncle Jey :
Nakufatilia kwa movement za black ninja 🥷 😂, darasa zuri sana keep it up
2026-09-19 09:40:00
1
Good Makundi :
acheni kutishia watu AI haina uwezo wa kuangamiza dunia labda miaka mia mbele sio leo wala kesho ,na tatizo ukishalijua ni nusu ya suluhisho
2026-09-19 06:20:39
1
Said Mwanasanga :
nakufuatilia sana upo vizur sana kaka we kweli ni mtaalam
2026-09-21 06:18:00
0
잔ㄴ지발 :
ingia live tuje tukuchallenge usijisemee tu
2026-09-20 04:25:17
1
Maisala Evarist💌 :
AI ni akili unde ambayo inatumia maarifa kutoka kwa Binadamu
2026-09-19 04:43:51
1
source :
HAKUNA KIUMBE CHENYE AKILI KUBWA KULIKO BINADAMU.AI inaenda kuondoa watu wote wanafikiri kwa kurudi nyuma hawa wanategemea kusoma vitabu na programu ambazo teyali zipo.AI haiwezi kuondoa watu wanaofikiri kwa kenda mbele.Hawa ni watu wanao fikiria sasa nini kifanyike na watafanyaje na wanauwezo wa kufanya wao wenyewe.Wanatumia vipaji vyao na akili zao bila kutegemea watu wengine.
2026-09-21 09:37:10
0
Masoud Kilalangongono :
chief salute nyingi mnoo kwako mtaaam wangu mshani
2026-09-21 08:21:17
0
MULAX. :
hujui AI inatengemezwaje kaka am acha kupotosha watu
2026-09-20 12:49:37
2
BINGWA 💜 :
endangered species
2026-09-18 15:54:18
1
dr d fast :
sasa ai anatengenezwa na wanadam harafu yeye tena amzid binadam why mimi nadhani ai atakuwa na perfomance nzuri sana kuliko binadam sio su kumzidi maarfia binadam ambae ni muumba wake labda ibris aingie kazin kwa mgongo wa ai
2026-09-20 07:20:27
1
Machulubaa_ de_house :
🫡🫡🫡🫡🫡
2026-09-18 15:57:22
0
To see more videos from user @technamimi, please go to the Tikwm
homepage.