Mchungaji naomba uniombee Mungu awarushie mate wote waliohusika kunihamisha kutoka kituo kimoja cha kazi kwenda kituo kingine kwa uonevu ili nafasi yangu kazini wampe mtu mwingine ambaye hata vigezo.Wameninyanyasa sana na kunisababishia maumivu makubwa sana, lkn pia wameniita mm kuwa kirusi, naumia sana kwa sababu sijawakosea chochote na sijaharibu kitu chochote kazini na majukumu yangu nilikuwa nayatekeleza kikamilifu.Sina uwezo wa kupigania haki yangu kwa sababu wao ni maboss zangu.Mungu wa Mbinguni awarushie makubwa sn ili waache hiyo tabia kwa sababu wakiachwa wataendelea kuwamiza wengine.
Mungu baba warushie mawe makubwa sana hao wote walioshiriki kuniumiza
2026-09-19 13:51:58
1
Elvis Khisa 076635164 :
very true
2026-09-19 14:36:32
0
mwihangiri :
Amin sure agreed totally understand 💯🇰🇪📢
2026-09-18 18:57:10
0
jessy sugar free :
You can share to others blogs
2026-09-18 19:40:07
1
martha s msigwa :
mungu naomba uwarushie mawae warewote waliousika kuumuuwa mwangu huko chuoni mpaka huu tarehe 23 mwezi 8 mwaka 2026 mungu uyo kijana alicheka naisi Bado yupo kumbe amemuachia picha tuuu walimu na wanachuowezako wamekua 😭😭😭😭mwanangu najua mungu atanifuta haya machozi mwanangu baraka wangu nime kumisi mwangu 😭😭😭😭😭
2026-09-19 07:13:48
7
71 kiserian :
amen amen amen amen 🙏
2026-09-20 03:52:02
1
Leo ♌️💜🇷🇼 :
Amina 🙏
2026-09-18 18:42:32
3
nass :
Ameni 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
2026-09-20 08:18:53
0
j faah💫 :
Mungu nisaidie nitende haki
2026-09-19 07:35:42
1
@Mremi198 :
Mungu nitete yatim mm nisio pondwa nandg
2026-09-19 21:22:11
0
Cecillia Gilbert :
Na Mimi nimedhurumiwa na mch Mungu nitete
2026-09-18 20:00:36
1
mesa Jhonson :
Amen
2026-09-20 03:43:44
0
lamayani laizer :
Amina nimepokea kwa damu ya yesu mungu akutie nguvu mutumishi wa mungu🙏🙏🙏
2026-09-18 19:40:47
1
gidionmasebo :
Amina nimepokea kwa damu ya YESU🙏
2026-09-18 18:10:37
1
Devotha Barongo :
mie sijaelewa ongea kiswahili😂
2026-09-18 18:14:37
1
Rose soila :
Amen Amen Amen Amen Amen 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
2026-09-19 10:31:29
1
Amina , :
nikweri mtumishi mungu niatuhurumie
2026-09-19 19:36:36
0
Jessica Mungai :
Amina
2026-09-18 22:17:29
0
user2676399261194 :
emen,emen,emeeeen
2026-09-20 10:21:52
0
Subira Mwambene :
Aminaaa Aminaaa mtumishi Asante kwa kututia moyo
2026-09-19 18:33:12
0
Martha :
mungu nitete na mimi
2026-09-20 09:44:05
0
martha s msigwa :
Amina baba napokea
2026-09-19 07:15:05
1
Bigg Vibe :
Amen
2026-09-19 18:35:56
0
tedy :
kweli kabisa mtumishi
2026-09-20 07:31:39
0
adolfrida mulokozi :
Amen
2026-09-19 19:43:43
0
To see more videos from user @isaka.izraleli0, please go to the Tikwm
homepage.