@mifugo_podcast: DAWA BORA ZA MINYOO KWA MNYAMA. ✓ Uchaguzi wa dawa bora unategemeana na aina ya minyoo inayokusudiwa kulengwa ✓ Hatua au stage ya ukuaji wa minyoo kama ni hatua za awali au hatua za mwisho ✓ Afya ya mnyama husika (Kiwango cha maambukizi kwa mda unampatia dawa) ✓ Usugu wa dawa kulingana na historia ya matumizi ya hiyo dawa ✓ Hatua za ukuaji za mnyama kama ni mdogo au mkubwa #mifugotz #mifugo #ufugaji #ufugajiwakisasa #ufugajikuku

MIFUGO PODCAST ⛎
MIFUGO PODCAST ⛎
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 18 September 2026 15:17:49 GMT
7938
472
28
62

Music

Download

Comments

petro454545
petro :
somo nimelipata vizur sana Asante
2026-10-05 18:09:16
1
alex__hommiequan
alex hommiequan :
nimekukubal dr
2026-09-24 08:56:58
1
juniorgwasma
Junior Gwasma :
dawa ya minyoo inatakiwa kurudiwa baada muda gani
2026-10-09 04:26:54
0
ramadhanmassuma
DR.RAMS :
hongera dr endelea kutupatia madini yanatusaidia wafugaji
2026-09-20 05:12:49
2
mrb8955
Mr Ben :
content hiz fany ziwe endelevu🙏🙏🙏🙏
2026-09-19 08:10:59
1
stivemwalimu
stive mwalimu :
good information
2026-09-19 08:05:58
1
user8821618463137
ABRAHAM OLE MAA TV :
Asand
2026-09-24 15:21:05
1
pastoroscary1
pastoroscary1 :
good
2026-09-29 09:48:12
0
user6006715205591
YOU WILL NEVER WALK ALONE :
Dawa ya minyoo ni muhimu mno kwa mifugo jamani. Unakuta mnyama kanyong'onyea tuu
2026-09-27 03:48:46
1
user433543216606
ULIPO NIPO :
ahsante sana
2026-09-20 09:47:22
1
mediacom205
J LOLO :
Asante doctr nimejiongezea madin apa
2026-09-21 21:20:08
1
loirukometui
loiruko :
wakati mvua inanyesha dawa gani nzuri
2026-10-04 16:09:42
0
usergambarek
Gamba mausa :
asant sana
2026-09-27 14:30:19
0
rizikialuminium
There is no life safwa boy✔✔✔ :
kwaiyo dawa nzuri kwa matumizi ya
2026-10-03 04:37:21
0
julius.oleseki
Julius Oleseki :
ongera Sana ndugu
2026-09-19 00:57:43
0
jumamkobei
juma ngobei :
hizo dawa napataje nimekubali
2026-09-24 17:05:48
0
jamalmukira
Jamal kanini :
je ng'ombe akila karatasi ya nylon ni dawa ngani naweza mpatia?
2026-09-30 16:10:11
0
kidole8
kidole@ :
nifundishe
2026-09-18 18:32:47
0
mussakisalu
mussa kisaru paresoi🇹🇿 :
👏👏👏
2026-09-24 17:42:44
0
farmersambassadortz
HEKE :
asante kwa ufafanuzi mzuri, kupata hizo dawa wamuone @HEKE
2026-09-28 09:27:30
0
To see more videos from user @mifugo_podcast, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About