@tax_with_innocent: 1. SALARY AND WAGES Haya ni malipo ya wafanyakazi wa kampuni kama mishahara, wages, overtime, bonuses na allowances zinazotokana na ajira. Kwenye kodi, malipo haya hupitia payroll na kampuni hukata PAYE. Pia huingia kwenye hesabu ya SDL kama kampuni ina wafanyakazi 10 au zaidi. Kabla ya kuyaweka kwenye hesabu, lazima yaendane na payroll, mikataba ya ajira, payslips na uthibitisho wa malipo benki. 2. DIRECTOR REMUNERATION Haya ni malipo ya director kwa kazi anayofanya ndani ya kampuni. Kama director ni active/full-time, malipo yake huchukuliwa kama salary na hukatwa PAYE kupitia payroll. Kama ni non full time director, malipo yake huitwa director’s fees na kwa kawaida hukatwa WHT 15%. Kwa hiyo, salary and wages pamoja na director remuneration lazima ziwe na uhalisia, mkataba/board resolution na ushahidi wa malipo vinginevyo TRA wanaweza kuhoji. Disclaimer: Hii ni joke ya kielimu tu. Hakikisha salary, wages na director remuneration vinaendana na payroll, mikataba na ushahidi wa malipo kabla ya kuwasilisha hesabu zako.✍️

tax_with_innocent
tax_with_innocent
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 18 September 2026 15:19:58 GMT
20519
430
33
37

Music

Download

Comments

astravvanna_
Astravvanna :
Ila Ukiwa na basics za accounting, plus prompt nzuri AI anakutolea kazi safi.
2026-09-19 07:27:10
4
xviii.ii.xcii
Hov. :
Kuna alinilipa 200,000 saivi nasikia milio ya 14,000,000 assessment
2026-09-18 18:25:42
5
joeljames9525
Sir Joel :
jamani mm ni recent graduate course Accounting darasani nilikuwa naona Tax, accounting and Auditing ni simple sana lakini niwe mkweli nimeshindwa kabisa kuapply knowledge ya Tax kwenye uhalisia naombeni msaada jamani nifanyeje niweze kusaidia customers kwenye masuala yote ya Tax
2026-09-21 16:06:12
1
rerjabkhermisy
Rerjab Khermisy Vert :
Kuna mmoja alikuja akasema bei zenu ghali nina mwanangu kamaliza degree ya uhasibu atanifanyia heaabu 😃😁😁 kilichomkuta hatosahau
2026-09-18 17:44:32
2
fattie1080
fattie🦋 :
😂😂Eeeeish
2026-09-22 10:21:03
0
user5934427574424
fayleeh :
hahahhahah
2026-09-22 12:19:26
0
dingydong7
Dingdong :
Ai kiboko hisabu zangu ziko shwari
2026-09-18 21:05:00
0
its_me0048
Ney04 :
Akimaliza kulia mwambie kuna penalty za “other than PAYE” (WHT), si ajabu hajawah ku file 😂
2026-09-19 11:06:50
0
manha_official20
Manha🦋 :
Lazma ukimbie kwanza😂😂
2026-09-19 06:49:16
0
masmoro_007
007 :
2026-09-18 16:14:58
0
_cpajuhudi
CPA(IP) Juhudi Nassoro :
Halafu hajawahi kulipa PAYE wala SDL😂😂
2026-09-18 19:09:58
0
davidkikale
Dave👑 :
😂😂😂😂😂tunachomoka apo
2026-09-18 20:06:52
0
borcelle_gift_decoration
Borcelle Gift&Decoration :
Ila unanichekesha ni kama nifanye kazi ya degree yangu effectively😂😂😂
2026-09-18 17:16:19
0
esthermackenzie
Esther Mackenzie :
Alipe tu 😅
2026-09-19 11:57:02
0
jacqlyn_vn6
Jacklyn2026 :
2026-09-18 15:28:07
2
rajjeet7777777
777 :
Wioo wiooo wioo😂😂😂
2026-09-18 16:23:16
1
frank.e.kapesa
e-book :
hahahhah gereji akuna huruma🤣 na kama apajui gereji aendelee na ai procedure zinajulikana😁
2026-09-18 19:46:54
0
iamgentle2
iamgentle2 :
🫡
2026-09-18 18:29:17
0
mtaalam_tech
mtaalam :
😂😂😂
2026-09-18 16:59:14
0
To see more videos from user @tax_with_innocent, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About