@bbcnewsswahili: Kwa nini usingizi hutunyemelea baada ya chakula cha mchana? Umemaliza kula, unarudi kazini, lakini macho yanataka kufumba Je, ni chakula tunachokula, kiasi chake au mwili una sababu nyingine? David Nkya anaelezea kwa kina #bbcswahili #afya #lishe #foryou #fyp
bbcnewsswahili
Region: TZ
Saturday 19 September 2026 14:00:00 GMT
Music
Download
Comments
estomiimunisi :
nalala haswaaa, maan ata nikilazimish kutolala nitaumwa kichwa sana.
2026-09-19 14:09:26
7
😼سعيد𓃭 :
Wale wa kaylula tukutane hapa🙌🔥
2026-09-19 15:05:22
3
Rizbwaytz :
2026-09-19 15:40:58
1
Calvin Emmanuel :
Lina nikutaga sana hili tatzoy nikishiba
2026-09-19 16:28:11
1
📌 :
Mbona mimi hata nikinywa maji nasikia kusinzia fofofo!
2026-09-19 16:07:59
1
àlex :
natembea tembea😂
2026-09-19 15:06:59
1
Raheem Ghadaffih :
Nasinzia sana, mpaka sasa huwa sili mchana kama hamna ulazima... nikishiba sifanyi kazi mwili unachoka na usingizi juu
2026-09-19 16:13:00
1
『KANIY QUR’AN』 🕋✨ :
ahsante
2026-09-19 15:05:01
1
Isaya Önê Lovê Tz🇹🇿🇹🇿🇹🇿 :
sio kwangu Mimi Et😂😂😂
2026-09-19 15:43:30
0
#Lemann mbalwa@ :
Nilijua naumwa razma nlale
2026-09-19 14:55:44
1
💕𝑫𝒊𝒗𝒊𝒏𝒆 𝑴𝒂𝒏𝒌𝒂💕 :
kazi yangu tu aniluhusu kulala
2026-09-19 14:51:06
0
ally abubakari :
uwa nanunua maji baridi na nawa uson na ukijimwaiya kichwn
2026-09-19 15:10:43
1
KASONGO Thug life :
huwana pumzika
2026-09-19 14:17:26
1
H.💝. MP :
Mimi kuanzia asubuhi nikisha kunywa chai wee usingizi unaanzia hapo kazini hapakaliki Bora ata mchana naweza kaza
2026-09-19 14:28:07
0
Sady Maulid87 :
Me nakunywa maji glass moja
2026-09-19 14:56:16
1
Red :
ndo apanue pua ivooo
2026-09-19 14:21:19
1
mama2 :
mi nikuingia stoo nina ka box na ka kiroba walau nilale hata dk 10 🤣🤣🤣
2026-09-19 14:11:38
1
Ahmedkalunde :
mh mm kazi yangu sikumbuki hata kusinzia labda ww kazi yako
2026-09-19 14:40:45
1
Chino muha :
🤣🤣🤣
2026-09-19 14:20:56
0
Dhia muhammad :
💛💛👍👍👍
2026-09-19 14:36:56
0
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.