@radiomariatanzania: “NINA BAHATI KWAMBA NILIZALIWA KATIKA FAMILIA YA KIKATOLIKI, BABA NA MAMA KILA MARA WALITUAMSHA KUSALI.” Sehemu ya mahojiano ndani ya Kipindi cha SAFARI YA WITO na Padre Dyfrig Maliti, C.S.Sp., Mkurugenzi wa DogoDogo Centre – Bunju, Jimbo Katoliki Bagamoyo, akizungumza na Mtangazaji Erick Paschal Jnr kuhusu Safari yake ya miaka 22 tangu alipowekwa wakfu katika Daraja Takatifu la Upadre mwezi Julai 2004. • • • www.radiomaria.co.tz #RadioMariaTz #SautiYaKikristoNyumbaniMwako