@shajukan_tz: Zenji kumenoga

Shafii Juma
Shafii Juma
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 18 September 2026 15:34:46 GMT
259256
8328
892
4773

Music

Download

Comments

unique.babe104
Unique babe🇹🇿🇹🇿 :
niende zanzibar nipate mume na mm😂😂
2026-09-19 04:48:55
110
sothery.nchimbi7
Sothery Nchimbi :
😂😂😂😂😂Wenzetu wameanza changanyikiwa Asante Mungu ilinde Tanzania yetu
2026-09-19 05:26:34
121
sharkx.boy.sharkx
Sharkx Boy Sharkx Boy :
umenipa kazi mpaka niowe wake wawili 😂😂😂😂
2026-09-19 06:06:13
20
rodrick50715
Aone Drone pilot :
sasa nimegundua muda wa kuhamia zanzibar umefika kama wazaz walivo semaga
2026-09-18 20:37:41
35
atmchaka
atmchaka :
tushafungwaa
2026-09-18 17:10:32
25
mweusii_og119
mweusii mweusii :
mapema sana natoka bara kwenda nchini Zanzibar 🥰🥰😂
2026-09-18 21:57:15
28
user5161322229077
husna :
ahhaa mme wangu asiiyone hii kripu ataamia zanzabar sasa ivi😭😭😭😭😭
2026-09-21 11:19:20
11
doctersahirlee
Docter sahirlee 👑 :
Ila nchi yangu bana 😄😄😄 hemu ipunguzeni iyo bei ya sukari maana zanzbr kitu pekee kisicho panda bei ni Boflo peke yakee😄😄
2026-09-19 06:56:50
14
bi.marym
mariam🦋 :
eee mung kwann sina kaka me 😂😂
2026-09-18 18:21:16
6
user7938377337137
@Selapark_official🦢 :
na vipi kama Sina ela mtanisaidia kulea uyo mke wapili😅😂😂😂😂
2026-09-20 05:57:50
5
dicksonsostenes001
DICK TZ🇹🇿 :
Bwana yesu asifiwe tulio single wooooote😅😅
2026-09-19 08:52:34
6
dior17791
Dior :
ngoja niamie zanzibar mapemaaaaaa
2026-09-18 17:38:28
18
jumasalum612
Young Africans :
Sio kuoa tu jee huduma zitapatikana ipasavyo
2026-09-19 14:32:14
6
ali.trent
🦅🦾 :
On my way to Zanzibar 😁
2026-09-18 17:07:50
12
rich.mitindo5
Rich mitindo :
kilamtu atachanganyikiwa kwa wakati wake😂😂🤭🤭🤭
2026-09-24 09:30:51
0
kennyfinetz5
kenny fine tz5 :
me nahamia Zanzibar
2026-09-18 20:16:06
8
jumamtiga652
Juma Mtiga :
oy nihami shieni Zanzibar
2026-09-18 17:56:55
5
juniormandowa
Itz Mandowa_96InK :
kama marioo anaenda mombasa na mm naenda ZANZIBAR
2026-09-18 17:54:34
5
yassinramvibe7
bad legend :
asa Zanzibar nchi au mkoa mi nachoka
2026-09-20 14:52:32
0
user681815218763
Kasongo :
mimi nina miaka 60 sijapata mke hata huyo mmoja, hao wawili wa kuoa wanapatikana wapi?
2026-09-19 16:41:39
0
user1172807943032
user1172807943032 :
Ngoja nikimbilie zenji aseeeh
2026-09-21 11:44:27
3
hussenikinguti
Husseni Kinguti :
uzuri wakuongozwa na watu wenye dini
2026-09-21 18:06:34
2
boubah08
Boubah :
anzeni kuwashuhulikia walio terekeza familia Kwanza ili wajane na wajane chuo pamoja n watoto wao wasiteseke ndipo mufanye ayo
2026-09-22 18:48:23
1
kara.2363
kara 23 :
Jamani mimi kwetu ni dunga mitini hulu bara basi tena narudi kwetu
2026-09-21 08:29:17
2
kamasoph
𝐻𝑎𝑛𝑎𝑦𝑎 🥰🌺 :
𝒕𝒖𝒍𝒊𝒌𝒖𝒂 𝒕𝒖𝒏𝒂𝒕𝒂𝒌𝒂 𝒕𝒖𝒂𝒎𝒊𝒆 𝒛𝒂𝒏𝒛𝒊𝒃𝒂𝒓 𝒏𝒂 𝒎𝒎𝒆 𝒘𝒂𝒏𝒈𝒖 𝒍𝒂𝒌𝒊𝒏𝒊 𝒏𝒊𝒎𝒆𝒈𝒂𝒊𝒍𝒊 𝒂𝒔𝒊𝒋𝒆 𝒂𝒌𝒂𝒇𝒖𝒏𝒈𝒘𝒂
2026-09-20 15:06:00
1
To see more videos from user @shajukan_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About