mtu anakupa elfu 2 anataka uunge sms za jero MB za jero na salio la buku af ukimtajia jina anasema ngoja aulize mda huo Kunawateja wamesubili huwa nabak kumuangalia2😏
2026-09-21 09:04:39
7
flored2024 :
mm akiuliza unafany nn namwambia najiuza😅😅
2026-09-20 19:23:38
8
Mr maokoto :
Boss piga na ile ya mteja ananunua vocha anataka umuungie na kifurushi kisha na namba umtafutie maana inakela sana😂
2026-09-19 18:44:45
10
da Hellen💃💕💕 :
mi Kuna mtu ashawahi kuja dukani nilipokuwa nashindwa kuomba chenji nikasema Sina akasema Sasa unafanya nin apa si ufunge dukaa aliongea kama utani ila nilimaind 😂😂😂😂😂😂😂
2026-09-21 12:39:42
1
mwajuma :
adi mm naambiwaga hvo nawateja🤣
2026-09-19 20:07:46
7
MTOKA# :
me huwa nawambia na ww fungua kama unaona ni rahsi
2026-09-20 07:25:15
6
princilla :
akii hii imenikuta na mim
2026-09-21 12:58:26
0
Rajabu juma :
mr chui
2026-09-18 19:26:58
3
OCHALYA✝️🇹🇿&🇰🇪 :
Sema mwenetu Chui anazingatia code Anavaa Unyama[Tears of joy][Tears of joy]