@mtoto_wa_maria: Hii ndio sala yangu ya kila siku, ungana nami tusali pamoja: Ee Mwenyezi Mungu nijaalie niwe baraka na daraja kwa wengine ili wauone mwanga wa upendo wako, na kwa neema yako, niondolee kabisa uwezo wa kuwa sababu ya yeyote kuumia au kuteseka maishani mwake, daima unifanye niwe chombo cha amani yako, yeyote atakayeniona mimi, akuone Wewe, Amina 🙏🏽 #furahatemba #mydailyprayer #catholicchurch #viralmusic #fyplyrics