@bbcnewsswahili: Unatamani kuanza maisha mapya Ulaya? Kuna mji huu wa Ulaya unaoitwa Greenock unatafuta wakazi wa kuhamia ili kuongeza idadi ya watu. Lakini huenda kuna mambo muhimu ambayo unapaswa kufahamu kabla hujafunga virago kwenda @mrs.tadicha anakuelezea kwa kina #bbcswahili #foryou #fyp #greennock #ulaya

bbcnewsswahili
bbcnewsswahili
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 20 September 2026 09:00:00 GMT
142221
8613
293
1089

Music

Download

Comments

starongodfrey
高星 :
Wekeni na link sasa 😂😂😂😂
2026-09-20 09:35:16
161
husseiabb
Hussein Daud🇹🇿🇨🇭 :
Nilikuwa hapo mwezi ulopita ila ni pazuri sana
2026-09-20 10:04:22
80
hassan__akh
Hassan Fwamba  :
Shida yenu mtu akicomment mnaview profile 😏
2026-09-20 12:51:15
3
ustadhwatanzania
USTADHI WA TANZANIA :
kwa nini wanapendaga kusema miakenda na sio miatisa
2026-09-20 09:25:01
23
mboyios
mboyios :
mm sitaki ata hizo ajira kikubwa nifike ulayaaa
2026-09-20 09:45:43
30
imazo8989
imazoLee :
swali wamepungua au wamekufa ? na wamekufa kwa sababu Gani au wamepungua kwa sababu Gani ?
2026-09-20 09:57:41
24
baba.hoyo7
baba hoyo :
Europe is not a haven
2026-09-20 13:20:00
0
yaggastylish
yaggastylish :
Kikubwa niwe Ulaya tu
2026-09-20 11:01:38
4
its_dockie
It’s_Dockie💟 :
Scotland is such a nice place ever🥰
2026-09-20 13:19:55
0
_realhass
Shamrock :
I’ll simply be on benefit and enjoy life
2026-09-20 11:53:03
0
barcelonazanz1
Zanzibar Explore🦩 :
Nipo hapa greennock nipazuri ila kaz
2026-09-20 10:23:15
4
lilianpajop
♥︎ lilyhoney♡ ᥫ᭡ :
Je wanataka watu weusi???
2026-09-20 11:15:37
1
totomzuri
Brown skin ❤️❤️ :
They make it look so easy😂😂😂
2026-09-20 10:49:18
1
zainabjosephat
ZAINAB ABDULLAH :
natak ila sina nauli
2026-09-20 09:35:26
2
najmahomary433
Najmah Omary :
ata uku amn ajira mama iz changamot naziweza kwqiy tunafikaje fikaje☺️
2026-09-20 09:29:58
6
sultan.al.khali
Sultan- Al khali :
watu Mnafirana Mtaongezeka Vipi...?!
2026-09-20 10:41:43
0
user9714223600320
user9714223600320violet :
interested
2026-09-20 13:16:36
0
johngeorge5798
kibosho :
location
2026-09-20 09:26:01
0
abdulraufu69
Specialist 🚚 :
Wanitumie nauli mm niende tu🥺🥺🥺🥺
2026-09-20 09:48:10
9
ustadhwatanzania
USTADHI WA TANZANIA :
ndio naweza[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-20 09:26:05
3
menasoudy
Menasoudy ❤️ :
nitapaki tuu 😁 ...ajira weka Kwanzaa pembeni😅
2026-09-20 11:01:02
0
nasri95991
🦋Tina🥰🦋 :
Nawezaje kufik huko dada passport ninayo 😂😂
2026-09-20 10:34:27
1
masoud.saleem1
MASOUD SALEEM :
hebu tuambie wanataka watu au hawataki?? mana mara wnaataka watu, mara hawana ajira hebu tuweke wazi tujue la kufanya😆😆😆😆
2026-09-20 10:59:03
2
user97032218861863
Träp $møk€ :
nikoap
2026-09-20 13:22:15
1
j836802
josseph@ :
Muhimu nitoke Tanzania 🥲🥲
2026-09-20 11:35:32
1
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About