@njame_son: ARDHI NI URITHI, FAMILIA NI NGUVU! ๐Ÿกโค๏ธ Serikali yasistiza umuhimu wa wanandoa kumiliki ardhi pamoja ili kuimarisha usalama wa familia na kuepuka migogoro ya umiliki wa ardhi. ๐Ÿค Wanandoa, jengeni kesho yenu pamoja! Ardhi ni mali yenye thamani inayoweza kuwa msingi wa maisha bora ya familia na urithi wa vizazi vijavyo. Kumiliki ardhi kwa pamoja, kufuata taratibu sahihi za kisheria na kuhakikisha haki za umiliki zinatambulika ni hatua muhimu katika kulinda familia yako. ๐Ÿก SISI ESTATE โ€” Tunakusaidia kutimiza ndoto zako za kumiliki ardhi! Tunapatikana Arusha, Njiro, kwa huduma za: โœ… Viwanja bora na vilivyopimwa โœ… Viwanja vyenye hati โœ… Malipo ya awamu โœ… Ushauri na elimu kuhusu ununuzi sahihi wa ardhi ๐Ÿ“ž Wasiliana nasi leo timu ya masoko: 0624 855 179 ๐Ÿ“ SISI ESTATE COMPANY LTD โ€” ARUSHA NJIRO โœจ We create dreams that come to life. #sisiestate #ardhi #arusha #uwekezajiwaardhi #ElimuYaArdhi ViwanjaArusha ArdhiSalama Familia Arusha RealEstateTanzania NunuaArdhiKwaUsahihi#viral #creatorsearchinsights #ardhi

njameson_investiment
njameson_investiment
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 18 September 2026 15:53:42 GMT
80601
1961
244
688

Music

Download

Comments

lydia.anatory
Lydia Anatory :
Labda muwalazimishe hawa wanaume wana ubinafsi sana. ira mi kwa upande wangu aniandike asiniandike vyote nauna sawa tu kwani hakuna mtu atakaezikwa navyo wote tutaviacha tu ata siwezi kujipa shida eti nimiliki yeye akinithamini akaona tuko pamoja na mimi natakiwa kuwa mmiliki sawa. popote ulipo mme wangu uwe na amani. mi kumiriki na kutokumiriki ni sawa tu kwangu.
2026-10-08 17:47:40
60
shahadi176
shahadi :
Mimi hata asiponiandika sawa tu kwa sababu najua siku yangu ikifika ya kuondoka duniani hakuna nitakachoondoka nacho
2026-10-09 07:41:04
25
ester.mwananhumbo
Ester Mwananhumbo :
nichomshukuru MUNGU cna tamaa kwa sababu najua IPO siku nitakufa nitaviacha Yani Mimi siwezi kumlazimisha mtu jina langu liwe kwenye hat yeye akitaka aadike jina lake ikimpendeza zaidi aongeze najila la mama yake na dada zake kwangu sawa tu maana mwenyezi MUNGU ndo anajua kama hii nihaki yetu sote ata hayo majina hayasaidii
2026-10-09 07:47:24
9
editha.masisa
Editha masisa :
mimi tuliandika majina yetu wote lakini alichokuja nifanyia sina hamu๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ
2026-10-09 07:22:30
7
gasper1234560
Gasper :
mfano nikinunua aridhi kabla sijaoa inakuwaje
2026-10-09 10:19:17
0
winimringi
winimringi :
Mimi nimeshiriki kikamilivu lakini moto unaniwakia
2026-10-09 13:18:14
3
karubakopa5
NYAKI GIRL :
swali ni je, wakati tunashauriana kuhusu Hati bastora itakuwa wapi?
2026-10-09 08:56:00
3
reginaoscar3
Ginnah ๐Ÿ’๐ŸŒน :
mimi Nina hati ya mauziano tu Ile ya serikal ya mtaa bado sijatengeneza og yake ila kwenye Ile hat Kuna majina mawili kwenye mnunuzi lipo jina la Mr kwenye Shahid lipo jina langu Sasa tumegombana tukiwa na watoto wanne eneo lipo madale Mr anataka auze Hela ale na mchepuko wake Mimi sitak liuzwe sababu tuna watoto eneo n lawatoto na iyo hati ya mauziano ninayo mm nimeificha Sasa swali langu n iv je naweza kutengeneza hati og na nikaandika majina ya watoto?
2026-10-09 08:41:24
0
fatumamohamed114
Fatuma Mohamed :
Sina shida, mana akichukua achukue tu bhnaaa
2026-10-10 18:23:27
2
mrsmaliti
Dee๐Ÿฅฐโค๏ธ :
Hatutaki kila mtu ashke chake๐Ÿ˜…
2026-10-09 21:51:47
2
tarimetowntotoshop
Mkurya@Miss billionaire :
Ninunuwe uwanja mwenyewe hata nilikuwa simjui halafu niandike na jina la Mume Wangu, Sina ujinga huo hata kidogo. Tunnue wote tutaandika majina yetu sote ila sio jasho langu mwet mwenyewe
2026-10-10 12:10:30
0
love..family6
LOVE..FAMILYโค๏ธโค๏ธ :
mmmh kila kitu ni mpango amiliki tu vyangu Mungu atanipa
2026-10-09 05:44:22
0
priyanka53085
mjukuu wa tayari :
katika maisha yangu najali sana uhai wangu kuliko kugombea mali, mama angu ali uwawa kwaajili ya kugombea mpaka kwahiuo iko kitu kili niasiri inongo hadi kufa siwezi gombea mali๐Ÿฅบ๐Ÿฅบ
2026-10-09 12:18:52
2
aminaskello3
Mrs/PETER LADIES POINT :
sitaki kupigwa bastola Mie Kisa kitu ambacho nikifa siendi nacho popote
2026-10-10 09:23:20
0
doncaster.mose.lu
Doncaster mose lukumay :
mim tumeandika kwelii lakin sina ata habarii nazoo kwanii ntaenda nachoo wapii
2026-10-09 11:15:28
0
ceciemanka29
ceciemanka29 :
Wanawake tutafute Vya kwetu wanaume ni wabinafsi sana mwisho watatutoa uhai ๐Ÿ™Œ
2026-10-16 18:21:00
2
lovenesscharles87
Lovely ๐Ÿ˜ :
mi naona kila mtu amiliki chake tu mambo yasiwe mengi
2026-10-09 14:24:31
2
gasper1234560
Gasper :
watoto wanne kama mmegombana bila kutishiana uhai mrudiane tu mama,huku nje sio mazuri
2026-10-09 10:21:37
1
husna0044
๐Ÿงฟ๐ŸŒธhusna ๐ŸŽ :
Kwani wakimiliki wakifa watazikwa navyo uzur ukifa unapimiwa mimi sio shida zangu nitatafutia wanangu cha kufia nini๐Ÿฅบ
2026-10-09 10:13:33
1
saimon.ogati
Saimon Ogati :
ninunue kwa hela yangu tena nipangiwe na namna yakumiliki mbn apo sjaelewa mimi
2026-09-18 18:38:21
1
mimah.harith3
Mimah Harith :
Wanaume hwtki wabinafsi km nini
2026-10-09 04:57:35
3
zuhuramussa6
MAYRAH OUTFITS AND BEAUTY :
na sisi tulonunua wenyewe na mume aloniaoa nimemkuta na watt wa nje nikifa mm ndio arithi yy na watt wake inawezekana sheria ina mapungufu kuwe na wamiliki halali 3 mama ,baba na watoto wao wandoa waliozaa pamoja watoto wa kambo wapewe vyao mapema
2026-10-10 16:32:35
1
theresia.mwita2
Theresia Mwita :
Mumeona nini, jaman
2026-10-09 07:09:29
0
nestorykassim
the don๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’— :
uliona wap wew mzeeee
2026-10-09 05:29:22
1
ayshersaidy1
Mom W๐ŸŒบ๐ŸŒท๐ŸŒน :
shida sio kumiliki ila ni pale mmoja anapoenda kuanzisha familia nyingine
2026-10-09 06:51:07
4
To see more videos from user @njame_son, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About