@dr_daniel_md: 🌧️ Je, kunywa maji ya mvua si hatari au ni Hatari? Ukweli ni upi? Watu wengi wanaamini kuwa maji ya mvua ni safi kwa sababu yanatoka angani yaani Mbinguni. Lakini kuna mambo muhimu ya kuzingatia kabla ya kuyanywa. 💧 Katika video hii, naeleza hatari zinazoweza kuwepo kwenye maji ya mvua, jinsi yanavyoweza kuchafuliwa, na kama ni salama kuyanywa moja kwa moja bila kuyatibu. Usiamini kila unachosikia kuhusu afya—jua ukweli, chukua tahadhari, na linda afya yako. 🩺 #DrDaniel #Afya #MajiYaMvua #AfyaYako #UkweliWaAfya

Doctor Daniel- Hospitali Ndogo
Doctor Daniel- Hospitali Ndogo
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 18 September 2026 15:56:37 GMT
30082
1046
77
160

Music

Download

Comments

eliasi.donald
Eliasi Donald :
kwani maji yote ya bomba hayatokani na mvua? au je maji ya mvua na bomba Bora yp? na je maji ya bomba yenyewe hayana wadudu? na bomba huwa Lina safishwa na nan? na nani alikuambia watu wa mjini hunywa maji ya kisima? ukifuatilia mambo haya utalala umechoka.
2026-09-19 02:13:51
5
mosesdm3
Engineer by Nature :
Bibi na Babu zetu wangekuwa wamejifia zamani sana
2026-09-18 18:13:14
5
neema.massawe2
Neema Massawe :
me nilikunywa tezi za shingo zote zikavimba yani nayaogopa hatar
2026-09-18 18:50:57
2
mylifestillmylife
My Life Still My Life :
Sahahi dr. Daniel nakubali sana ila saa zingine ni Mingu tu ndiye anatulinda maana haya maji ya mvua ndio watu hutenga kwa ajili ya kunywa vikijini na ndio maji Yao ya kunywa kila siku
2026-09-18 16:51:11
2
rosemassawe73
Rosie🌹 :
I really appreciate the way u refer article/ research
2026-09-19 12:51:38
1
sebum75
sebum :
hayo maji ya dukani ni hatar zaid kuliko hayo ya mvua
2026-09-19 15:03:47
2
zaka.jm
Zaka Jm🐉 :
yaan ukiwasikiliza madokta utaishi maisha magumu sana hayo ndo tulikuwa tunayatumia mwaka hadi mwaka acheniiii
2026-09-18 17:43:54
4
zonnamaster
🅉🄾🄽🄽🄰√ :
doctor lakini tumbo si lina acid kali kabisa [Snicker]
2026-09-18 19:29:05
1
mamyara8
mamyara8 :
ukiyachemsha je
2026-09-18 17:03:29
1
simonmaltin
Simon Maltin :
bhana miili inazoeaga tu msitufanye kulazimisha tununue maj invalid pesa hatuna toka zako
2026-09-19 15:15:13
1
mazee_flix
MAZEE_FLIX🎙️ :
first comment 😁
2026-09-18 16:15:13
0
somadiannunezoneog
Karim Jude :
tatizo video zako ni refu ndo maana sizimalizi
2026-09-18 22:27:06
2
youngboy88438
Maokoto Graphic Designer :
we unaongea kwa kuwa una book ya maji ya kunwya. si hata ya milimani tunakunywa
2026-09-18 16:45:38
1
moswws2
user8502945455323 :
lakini miili yetu hua inaweza kupambana nao na kuwaua ndio maana hua hatu umwi mara kwa mara kinga zikiwa juu! hatuwezi kuogopa hivyo buana! la sivyo tusigekuepo mitaani wote tungekua hospital!
2026-09-19 13:02:07
1
michaelpeter8902
michaelpeter8902 :
doctor hivi kwa bati lilivyo la moto mdudu gn akae
2026-09-18 17:28:45
1
noor_bakerytz
JUMBA LA CAKES :
hivo ukiyachemsha na kunywa yanakuwa salama au hayafai kabisa hata ukichemsha
2026-09-18 19:17:21
1
verynic.0
Verynice :
Usisahau kutuwekea captions
2026-09-20 19:25:34
0
kassim.haji.ngist
Kassim Haji Ngistu :
duh nilikua sijui madhara yake sasa nimefahamu na nitawafahamisha na wengine asante sana
2026-09-20 20:34:12
0
tradamus55
Tradamus kapolla :
Hao wadudu mie ndio nao wataka niwale Kwa hiyo wakiingia kwenye maji watakua wamenirahisishia kazi maana kukamata bacterial sio rahisi 😄😂
2026-09-21 16:28:02
0
_willy_jr
e@@dwald :
ashsante kwaushauli bro
2026-09-21 12:31:55
0
user8107268183618
lauteri luanda :
kuchemsha na kutia chumvi kidogoo
2026-09-21 13:57:06
0
vibearenahq
VIBE ARENA HQ :
Uchambuzi mzuri Sana lakini sitaufanyia kazi 🥱
2026-09-21 09:18:09
0
payrottup
payrottupa :
kuna mkali anakinga maji 2025 anayoboa nayo 2026 anakunywa safi namba yake 76 uzoefu miaka 40
2026-09-21 07:09:02
0
tujana.msuya
Tujana Msuya :
vip kwa wale ambao hanywi ya mvua hanywi ya bomba akinywa anaumwa yeye anatumia ya dukan tu huyu nae atakua na ugonjwa gani
2026-09-20 14:57:46
0
jay__fredrick
lil_digga :
second comment 😂
2026-09-18 16:22:09
0
To see more videos from user @dr_daniel_md, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About