what happened to this guys nowadays 🤔 enyewe politics 🤦
2026-09-18 21:47:46
0
Yaken zuna 🇰🇪 :
politics is dirty game and there are no permanent enemies it's interest
2026-09-18 18:50:24
0
Mose luckyboy :
niwekee ile ya joho sasa akisema niende kwa ruto anipee nini anipe Wheelbarow mimi.
2026-09-18 18:39:33
4
Young Generation backup :
Na sai wako pamoja,enyewe siasa ni game mbaya💯💯
2026-09-18 19:58:00
1
Vinns :
that's siasa😂wengine sai wanaamini ati if Sifuna wins (of which Ni impossible) ati atapeleka Ruto jela.....siasa Ni kuchafua Jina ya opponent Na kufanya watu wafeel bitter Na wamchukie.....All politicians are friends,business partners etc.
2026-09-19 07:47:19
0
Sa nt oz :
weka ile ya junet ruto wewe unanitisha nani 😂
2026-09-19 08:22:18
0
mtoto wa daddy 🇹🇿 :
msite beb wangu mwizi😂😳
2026-09-18 23:31:32
0
€£Jay Boss&@💝💝 :
sifuna is the only remaining leader 💪💪💪na mm ndio sifuna
2026-09-18 18:57:26
0
isaac mbabazi :
Sasa kwanini umwite mweshimiwa wakati yéyé ni mwizi
2026-09-18 17:23:19
0
@macotieno :
Atembeaye na mwizi pia si ni mwizi?
2026-09-18 17:05:18
0
RONNIE TRUCK DRIVER🇸🇸🇸🇸 :
Kwani ilikuwa lasima utangazee
2026-09-18 17:38:39
0
wa mavatha :
na wewe ni nini
2026-09-18 19:33:47
0
David The Tractor Guy :
@Alionya Roseline @Mr Gazemba @Sally Raghet @State House Kenya @MJUKUU WA BUNDUKI @Nakhumicha
@Dr.william ruto
@H.E William Ruto samoei 😂
2026-09-18 21:37:58
0
ommy omar :
😂😂😂😂
2026-09-18 18:14:54
0
WANY KOANG THICHUONG :
😁😁😁
2026-09-18 16:48:36
0
🫰MKlSll MDOGO Comedy 👌 :
😂😂😂
2026-09-19 07:16:18
0
To see more videos from user @wycliffe568, please go to the Tikwm
homepage.