@masterg064: #WAACHENI WATU WATAFUTE RIZKI DUNIANI KOTE IWE YA HALALI TU #Oman #zanzibartiktok #tanzaniatiktok #fyyyyyyyyyyyyyyyyyyy @USTADH ZAYD IBRAHIM
Bi hadija alikuwa mfanya biashara je alikaa ndani tu bila kusimamia biashara zake?
2026-09-19 09:54:43
0
fetty fei :
Mnataka tudange au tuchukue waume wa wa2 sindio baada natafuta riziki ya halali Allah atanisamee
2026-09-20 05:52:56
0
Noora mo :
WANAUME zetu hawatutunzi nn tufanye kama sio kwenda mbali kutafuta pesa
2026-09-19 08:11:04
0
haglahagla :
Siondoki Oman hadi marengo yangu yatimie
2026-09-19 17:12:16
0
الله يكفيني 💓 :
Allah atuifadhi atuongoze na atusameh🤲 tumesha fika tiar
2026-09-19 08:25:42
2
fetty732 :
Sahihi aisee nmeskia kulia😢😢
2026-09-19 08:12:30
0
aisha paulo :
we kaka umeongea vizuri sawa allah amekataza sasa tufe njaa nauko kwetu tanzania ali ningum mno utafanya kazi nyumba gani ya mtanzania upate mshaala kuwanzia laki5 wasituchoshe sie kikubwa tunatafuta pesa yetu kwa alari atujaizinia atakae kuja uku kwaajili ya kutafuta pesa isio ya alari uyo atajua mwenyewe na mungu wake viongozi badilisheni nchi yetu kama mnalijua ilo akuna mtu anae penda kuwishi mbali na femiliy yake ukiona anaiyacha jua maji ya shingo ya memfikia tunajitaidi sana kupambana katika nchi yetu ila atupati lizik ya kukidh
2026-09-19 13:47:35
0
Mr umeme :
shekh kishk 💯💯%% yupo sawa
2026-09-19 11:46:46
0
Sobo❤️ :
Mnataka tucheze vigodolo tuwe vituko nyie semeni sababu ni halal mungu yupo nasi inshallah
2026-09-19 14:09:40
0
Dilara Bissness :
kwanz kuj oman husafri cku nzm alaf mambo mengne kishki atuzidshia akaaaah mtu kutafta kwa jasho haifai ufanye nini
2026-09-19 03:38:07
0
miss soph 💪💪💪🫀 :
tatizo uwelewa na iyo video aijamaliza mkiambiwa ukweli amtaki
2026-09-19 10:17:38
0
mariyam :
yote nimipango yaallah maana hatukiyegemea kama tuta fika hukubila kwa uwezo wa allah to katufikisha hapa tulipo allah atulinde na kila mabaraa ya huku
2026-09-20 04:09:34
0
shukrani 912🇴🇲 🇹🇿 :
🤣🤣🤣msituchoshe wanaume wenyewe wana lala mpaka saa 4
2026-09-19 15:25:00
4
Suda the mamy :
mwenyezimungu anisamehe imenibidi nije kujitafutia na watoto pia hivi ningekuwa tz mpaka leo cjw ningekuwa mgeni wa nani!!
2026-09-19 16:30:30
1
To see more videos from user @masterg064, please go to the Tikwm
homepage.