@radiomariatanzania: "ALITUITA, AKATUPA BAHASHA, AKATUAMBIA 'HII HELA MTAITAPIKA KAMA 'PROJECT' HAITAPITA." Sehemu ya mahojiano ndani ya Kipindi cha SAFARI YA WITO na Padre Dyfrig Maliti, C.S.Sp., Mkurugenzi wa DogoDogo Centre – Bunju, Jimbo Katoliki Bagamoyo, akizungumza na Mtangazaji Erick Paschal Jnr kuhusu Safari yake ya miaka 22 tangu alipowekwa wakfu katika Daraja Takatifu la Upadre mwezi Julai 2004. Kutazama mahojiano haya kwa undani tafadhali temebelea Channeli ya Youtube ya Radio Maria Tanzania. • • • www.radiomaria.co.tz #RadioMariaTz #SautiYaKikristoNyumbaniMwako