@momadini_: “Pesa zikiongezeka, maisha yako yanapaswa kuwa na maana zaidi, si gharama tu.” #pesa #ajira #momadini #fyp #creatorsearchinsights

Mo.madini
Mo.madini
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 18 September 2026 16:09:13 GMT
9650
800
57
47

Music

Download

Comments

mosesdm3
Engineer by Nature :
[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved] we jamaa 🙌🏾
2026-09-18 23:34:47
2
geofreynjovu1981gmail.co
Ngonifaceless channel :
kwa kifupi Tajiri ni mtu yeyote anayetosheka ,na Maskini ni mtu yeyote mwenye tamaa, watu wana pesa na bado wanataka wawe nazo zaidi ,na zaidi mtu anakufa bank kaacha mabilioni unajiuliza alikuwa anamtunzia nani,
2026-09-18 20:56:50
10
hassanissa861
HASSAN ISSA :
sahihi. Mfanyabiashara anakuwa Tajiri bila yeye kujua kama ni Tajiri.
2026-09-19 05:10:56
2
phily916
PHILY ➕🐐🌲 :
mo madini hujakosea kujitaa Hilo jinaaa
2026-09-18 16:39:41
5
user68679583360103
Iddy Athuman _002 :
Tisha bro
2026-09-19 06:33:43
1
user8875415256947
user hussein maige :
nimeshindwa kusema kitu kabsa broo fact kabsa
2026-09-19 06:43:17
1
katogeorge9835
fearless :
nimecheka tu
2026-09-19 04:28:22
1
vicentwami
vicentwami aka Matengo :
nimekuelewa brother
2026-09-18 18:59:31
1
user9999587267636
user9999587267636 :
exactly 💯
2026-09-19 07:30:43
1
og13363
KANDEGE D 7 :
😁😁😁😁unanitizama usoni unapata picha
2026-09-19 09:00:43
1
eagle.o3
Eagle O3 :
Napata pichaaa...hii nimeilewa mkuu
2026-09-19 08:53:56
1
user426176614858
Amanizosoldier :
daaah😂😂 heko sana
2026-09-18 18:44:04
1
bizzy.bee115
Bizzy Bee :
hamn maana ya maisha pasipo kuwa na hela ss ni heri niwe na hela na huzuni kuliko kuwa maskini mwenywe furaha
2026-09-18 19:53:08
1
user56240014927997
David 🇹🇿🇹🇿 :
madini unamisemo 😂😂😂
2026-09-18 16:33:11
1
nayuby_cosmeticstz
Nayuby :
Sikupingi
2026-09-19 06:41:22
1
wardah11967
Wardah :
Mi nataka kuishi vizuri😂😂
2026-09-18 17:19:35
2
nassrnass24
nassr.. :
Mo madini🔥🔥🔥
2026-09-19 14:27:30
0
mpondo895
mpondo :
mmh hpana cjakuelew sasa tupite njia up Kat ya kujilipa au kulipwa
2026-09-18 17:01:08
0
modestric
🕷️🍼Destr East🕷️ :
Uishii miaka mingi mzee wangu🙏🙏🙏
2026-09-19 13:30:52
0
hasheem.issatz
nizooh dee :
umetisha snaa
2026-09-19 06:50:40
1
mr.green770
Anonymous.. Mtumishi.. :
heri konzi mbili penye amani kuliko nyumba yenye karamu nyingi pamoja na magomvi.... (sijamaanisha umasikini ni jambo jemaa) "unanitazama usoni unapata picha" 😄
2026-09-19 08:03:46
1
njmarinya26
njmarinya@26 :
💯🫡
2026-09-18 16:17:54
1
user1770358348413
samootz :
🤝🤝🤝
2026-09-18 16:15:25
1
taylizy.tz
Taylizy TZ :
🔥🔥🔥
2026-09-18 16:15:08
1
ambepaul12
Baddest boe :
🔥🔥🔥
2026-09-18 16:20:44
1
To see more videos from user @momadini_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About