@islamicswahilinet: UNATUMIA MACHO YAKO KWENYE MAMBO YA HARAM, HIVI HUONI AIBU MBELE YA ALLAH SW? Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet

Islamic Swahili NET
Islamic Swahili NET
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 18 September 2026 16:12:38 GMT
35156
6373
182
475

Music

Download

Comments

toloi457
MR.TOLOI :
Allah forgive us
2026-09-19 04:25:55
6
user432956012552
Hijabi~Zakir :
ya Rabbi project us😭😭😭😭
2026-09-18 23:57:01
3
islamicknowledge978
Islamic knowledge 🕌 :
ALLAH atuongoze[Hands open][Hands open]
2026-09-19 13:04:42
0
habibtylina
habibty lina :
mungu atujaalie ufaham wa kuona lile lililo jema katka dunia hii
2026-09-19 08:50:26
15
user8733395218479
Shazam :
Subhannaallah ya Allah tufanyie wepesi kwenye kifanya ibada
2026-09-18 17:03:00
21
fatma231416
fafa :
Allah atuongoze
2026-09-19 05:47:41
8
user52661696284484
user52661696284484 :
Allah atujaalie tuwe wachamungu
2026-09-19 04:22:22
3
chid.boy252
Mama Raiyan :
Subhana Alla
2026-09-19 03:16:13
4
zainabhaji151
Zainab Haji :
mwenye zimungu atufanyie wepesi sisi na vizazi vyetu
2026-09-19 10:50:20
1
user4286610928701
mariyam :
Allahuakibar
2026-09-18 18:05:01
3
alhamdulillah.alhamduli7
Safia :
subhanallah
2026-09-19 05:59:28
4
sweetemoso
sweetEmoso001 :
Subhanallah. Ya ALLAH tusamehe mapungufu yetu
2026-09-18 19:11:47
5
user58474416179530
my chama :
subhana allah allah tup mwish mwem in sh allah ya rabby
2026-09-19 06:16:24
2
zainabkhasan
Zainab :
Allah atujalie mwisho mwema
2026-09-19 15:09:23
1
user6538600079593
2026-09-18 18:50:15
2
fakihi.fakihi.abd
tere tatii :
subuhana Allah
2026-09-18 23:01:47
2
abubakari.hashimu0
ta.baijali :
amiin
2026-09-19 03:12:26
3
katur417
Jay :
Allah akbar
2026-09-18 19:50:16
2
komakech21
komakech21 :
Subhana Allah
2026-09-18 19:23:03
2
user21739683735844
💐 nasra 💐💕 :
subhnallah
2026-09-18 18:48:51
2
user5327368400702
mamlu :
subhanallah
2026-09-18 18:33:17
3
saumu987
ukhuty saumu :
subhana llah
2026-09-18 18:24:30
3
user6538600079593
[email protected] :
muhamad sw
2026-09-18 18:51:00
2
zuzu.zuzu635
1235467890 :
Allah akbar
2026-09-18 20:41:56
2
fthma_4
fthm_4 :
subhanallah
2026-09-18 19:13:00
1
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About