@finishingmaster: 🔥 MATOKEO BORA YA GYPSUM DESIGN HUANZIA KWENYE BLANDARI! Watu wengi wanafikiri gypsum design ikishafungwa ndiyo kila kitu. Lakini ukweli ni kwamba blandari ndiyo msingi unaobeba gypsum design. Kama blandari imefanyika bila vipimo sahihi, imepinda au haina usawa unaotakiwa, unaweza kutumia gharama kubwa kwenye gypsum design lakini mwisho wake usipate ule monekano wa kisasa ulioukusudia. 👉 Gypsum design inaendana sana na vipimo. Kwa hiyo blandari nayo lazima iwe na vipimo sahihi ili gypsum design iweze kuendana nayo vizuri. Hapa kwenye project yetu tulikutana na changamoto hiyo. Blandari ilikuwa imefanyika bila kuzingatia vipimo vinavyohitajika kwa gypsum design ya kisasa. Tulipofika kwenye hatua ya kufunga gypsum, tukagundua kuwa vipimo haviendani. Matokeo yake, ilibidi tufumue blandari yote na kuisuka upya kwa vipimo sahihi ili kupata nafasi ya kufanya gypsum design yenye ubora na monekano unaotakiwa. 💡 Ushauri kwa anayejenga sasa hivi: Kama umefikia hatua ya kufanya blandari na una mpango wa kuweka gypsum design ya kisasa, usifanye blandari kwa mazoea tu. Hakikisha fundi wako: ✅ Anazingatia vipimo ✅ Anatumia zana za kisasa za kupimia na kunyoosha ✅ Anaacha usawa unaohitajika kwa hatua zinazofuata ✅ Anaelewa kwamba blandari na gypsum design vinapaswa kuendana Hata kama unatumia mbao kwenye blandari, vipimo na usawa ni muhimu sana. Usije ukajenga mara mbili kwa sababu ya maandalizi mabovu. Ujenzi wa kisasa unaanzia kwenye maandalizi sahihi. Na kwenye upande wa finishing, Finishing Master tunazingatia kila hatua mpaka kupata matokeo yanayoonekana. 📞 Tanzania: +255 659 410 501 📞 Kenya: +254 105 073 201 📞 Uganda: +256 705 761 842 📲 @finishingmaster FINISHING MASTER — Ubora unaonekana.
Finishing master
Region: TZ
Friday 18 September 2026 16:33:58 GMT
Music
Download
Comments
saggaffaki :
tangu mtengenezewe lasers atusemi[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-09-19 11:13:56
1
exo. finish and decorations :
ma boss wangu mnachanganyikiwa mkiingia TikTok
kumb ata paip levo inafaaà
2026-09-18 21:21:26
6
ndalahilenyanza :
umekosea kusema kwamba wote mafundi kupaua hawawezi blandering rekebisha kaka
2026-09-18 18:51:33
1
petroelizabeth56gmail.co :
namba
2026-09-20 05:08:30
0
samwelsanford8 :
iyo ma shime na pipe levo haina utofauti wowote
iyo mashina ni kwajili ya kumtishia bosi upige elazako
2026-09-18 19:01:32
1
pauro A,yona :
kaka mimi napaua najenga na kupiga blanda yakisasa zaidi
2026-09-19 17:09:12
0
Nyau nyau :
uongo
uo mstari kazi yake ni levo tu
piga plan chini yake piga
2026-09-19 17:26:49
0
Husseny Kisesa :
maerezo.mengi.umetoa.umeereweka.
2026-09-19 12:43:21
0
Kevoo rider🏍️ :
Saaa kam fundi kaweza kupauwaa brandaring ndio atashimdwaa
2026-09-19 18:41:26
0
JR JuNior :
waambie mabos wako mbna tunanyoosha2 kwa macho
2026-09-19 04:26:37
0
AMO07 :
kapiga 4 by 2
2026-09-18 20:16:33
0
John decoration :
leo umeongea fact san kk 👊👊
2026-09-18 17:36:14
0
isaac :
kweli
2026-09-19 10:23:20
0
PABLO...... :
fact
2026-09-18 19:02:12
0
muky_paint_masters :
hicho kifaa bei gan
2026-09-18 19:46:10
0
Suleiman Ali :
Master ata mm nishakutana na ayo mmb yan unakuta unayoosha kwr kwr unakuta bathi ya sehem unafumua kabsa ili kupata ktu kzur
2026-09-18 17:58:35
0
Ally Rocky🇹🇿 :
Hapo umewangelea vibaya mafundi wenzako mi napitatu
2026-09-18 17:47:23
0
KIBWANA :
ACHA KUPOTOSHA WATU KWANI KUNYOOSHA UNATUMIA MASHINE IYO TU ACHA IZOOO
2026-09-18 20:03:55
2
user8141608835144 :
weka kauli sawa kusema mafundi kupauwa wote kabla yahicho kifaa kulitumia kifaa kipi nakilikuaa chachanya kazi mbovu?
2026-09-19 03:21:47
0
Jeff Wizzy :
[Perfect score][Perfect score][Perfect score]
2026-09-18 17:00:44
0
To see more videos from user @finishingmaster, please go to the Tikwm
homepage.