@lutystar3: KILIO CHANGU Part 60 Enjo ameamua jambo moja: hataki kurudi alikotoka. 🥺🔥 Sammy anampenda, lakini Enjo anajua moyo wake hauko kwenye hiyo safari. Sasa ameamua kujenga maisha yake kwanza. “Jifunze kusimama mwenyewe.” 🎬 KILIO CHANGU #creatorsearchinsights #lutystar #trendingreels #storytime #viralreels

Lutystar
Lutystar
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 18 September 2026 16:34:06 GMT
88073
12798
264
393

Music

Download

Comments

teekhayne018
Tee khayne🥰🔐 :
Enjo na Dorian wana pendezana xana
2026-09-18 20:25:34
1
pablo005256
PABLO,,05 :
kumbe nadia na dorian washaanz tabia mbaya
2026-09-18 16:43:11
38
kasabimachera
issa juma :
hii move ukiangalia unaweza kuowa bila kutalajia
2026-09-18 17:08:53
15
user1355070396146
Abblah Rufaliy♥️🥰 :
Angel ashaanz kumchekea Sammy😂😂
2026-09-18 21:11:48
0
dorismsuya655
Dory🌸 :
tunaoangalia kwa wi Fi tujuane hapa
2026-09-18 16:56:11
52
emeka_268
blackbloody628 :
profile picture vs SAMI..😂
2026-09-18 16:55:07
2
mrstransaction2
mrs dangote🌹💝 :
nadia ety my pumpkin
2026-09-18 16:41:29
1
chimmumy3
@Chimmumy :
Penzi la dorian na nadia linaboo stak penzi lenye limepoa ivo mm penzi halina ata hekaheka
2026-09-18 16:47:11
12
baby.laty58
baby laty :
Goiod🥰 dorian
2026-09-18 20:51:27
0
cynthia94494
galchild :
wanaoamini dorian atamrudia enjo sema hi
2026-09-18 16:51:10
12
user8119781506792
vinura :
next plz
2026-09-19 02:27:21
0
aisha.ismail2602
Aisha Ismail :
angel kamove on😂😂😂
2026-09-18 16:51:28
0
baby.mochi330
🇹🇿 love❤️ BTS 🇰🇷 :
penzi limepoa la Dorian na Nadia kama kwapa la chura 😅😅🤦
2026-09-18 17:53:13
2
dugganman
DUGAN 002# :
mbona hawagonganag kama anavyogongwa Angel...?
2026-09-18 16:43:29
6
rynahpaul
rynahpaul :
Dorian na Nadia wanatarajia mtoto 💃💃💃💃
2026-09-18 16:45:01
2
gladysgati257
Gladys Gati :
nadia ujue dorian ako na mtoto nje
2026-09-19 04:19:42
1
jolieuser9
jolie :
najuwa kwamba siko mimi peke ninaye mpenda enjoy ♥️🥰 mimi apa na subiri arusi nzuri la enjoy ♥️♥️
2026-09-18 19:40:46
3
mercynyale
mercynyale :
estafika
2026-09-19 04:09:47
0
mariammpunga
mariammpunga :
Ila Dorian sasa hv anaonekana hana furaha ingawa anatabasamu, anaonekana anamambo mengi anayowaza
2026-09-18 19:43:44
0
linetmugaji
linetmugaji :
wewe leo nimepata venye nitamwita mtu wangu my pumpkin msijifanye mjasikia
2026-09-18 17:27:04
1
priscilla.jonatha1
Priscilla Jonathan :
wangap tunaangalia saa 5 kasoro na hawajalala Kam mm☺️
2026-09-18 19:43:43
1
respie.lyaruu
KiNG OF JEwellery :
Next
2026-09-18 20:46:29
1
user6137350381873pendeza
pendeza kahindo :
m'y Dorian
2026-09-18 20:13:52
1
user341114206570
Halima🌹 :
next
2026-09-18 16:38:17
2
aslina7877
aslina :
sema hizi stor zinanifurahiya hazina mambo yahovo mpaka watoto wanaangalia
2026-09-18 17:12:13
2
To see more videos from user @lutystar3, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About