according to health nutrition and wellness that's what they are supposed to do on a daily basis...mazoezi muhimu
2026-09-19 05:49:36
6
Mercy deweks :
kutoka Tao to Kangemi 150 guys😫😫😫
2026-09-18 19:05:09
672
George Mbua :
wewe hujapita pale baba dogo saa kumi na moja jioni😂😂😂
2026-09-18 17:48:30
638
Lvs🏍 :
kwanza westlands to kangemi[Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-18 17:34:34
823
🎀IAM🌸migeil🇦🇷 :
masagara uko funny😂😂😂
2026-09-18 16:55:41
269
Karol Tunduli KtSnr :
ruto must go
2026-09-19 07:38:44
742
Bee 🐝 actress :
Waiyaki way is worse 😂😂watu wanatrek from westie to kangemi ni mbayaaaa
2026-09-19 06:47:47
100
keyjanah 🇺🇬🇰🇪 :
😩😩Aki shuwally God...plizz do something
2026-09-19 05:16:41
43
Mafia Priest :
sasa influencer kama huyu ndio tunataka, feeling others pain and campaigning for their good life
2026-09-19 06:40:31
125
User987654321 :
Nairobi needs an efficient commutter train system. Benchmark with new delhi
2026-09-19 04:57:26
10
_kori :
The biggest percentage of people walk to work btw in Nairobi
Most people can't afford bus fare
Ni mbayaa
2026-09-19 05:41:15
10
FD :
Alafu utasikia wakisema wako kwa serikali 🤣🤣🤣
2026-09-19 04:05:52
98
Teres :
Leta zile bus za NYS time Ya sponyo zilikua😅
2026-09-19 04:53:43
63
jorjese dhe empire :
enyewe Ruto must go 😆😅😅😅
2026-09-19 06:57:59
18
💞Lucky💞💞 :
this one makes sense walai💪💪💪💯💯💯💯
2026-09-18 21:18:33
2
Peter Nyaboga :
Will it not kill the matatu business?
2026-09-19 07:20:52
2
Aluu :
😂😂😂 President
2026-09-19 07:45:02
3
wh_aaaaaat :
Dean Of Transport to the President
2026-09-18 19:49:30
1
nashO :
Hii ni exercise mzuri sana🤗
2026-09-19 05:07:42
6
livondo kip :
employer should provide means of transport lakini kenya watu wanatumiwa vibaya 🤔
2026-09-19 03:35:53
5
Felix Mmbali :
Waiyaki way unaeza dhani wanaenda maandamano
2026-09-18 19:00:26
6
🇰🇪kenyaNaiboys :
nikikumbuka nilikuwa natembeya from mbamburi mwisho mpka labour uko kwa waarabu naambiya God Asante
2026-09-18 22:43:55
23
Moonlight :
Hawa ni WA sifuna kwa sahii 😂😂😂 awasaidie
2026-09-18 19:19:54
18
@CityBabe🩵🌹 :
we umewai kuja kangemi Jioni😂😂alete hata tuktuk
2026-09-19 04:44:32
6
nana wa kina kiuna :
Its sad..But me hufeel mbona wasichikane wakae hizo kazi mpaka zikose watu wa kufanya ndio maboss waongezee pesa..sometimes napitia aki kwa gates za wahindi naona wababa wa 60 years wakifagia nje ya gate naskia huruma sana..aki watu washikane wakatae hizo kazi mpaka mshahara iongezewe..
2026-09-19 06:31:43
7
To see more videos from user @papa.lewisooh, please go to the Tikwm
homepage.