@sativa_255_tz: Betting ni biashara—Ukiifanya kama mchezo ni mchezo kweli na utaumia.! #maelekezo #football #Soccer #tutakuwepo🫵🏾😎

SATIVA_TALK_1
SATIVA_TALK_1
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 18 September 2026 16:42:15 GMT
86837
6336
54
91

Music

Download

Comments

abdulrashidi8
D£ m£$$! :
kwaiyo ulitekwa na polis au nimesikia vibaya
2026-09-18 18:18:51
12
cryptoandblockchain2
mabuyeenterprisem :
betting sio biashara, ni kuinufaisha kampuni
2026-09-19 08:54:44
10
herman.willson5
Herman Willson :
msema ukweli mpenzi wa Mungu
2026-09-18 17:16:49
14
user2680039637548
MTU PISI🫆 :
sijajuwa unamaanisha nini.
2026-09-22 22:27:42
1
killer144299
KILLER14 :
kwann hujibu sms brooo ety
2026-09-19 12:46:16
0
amosndilahomba
king 👑 piero :
Daah mwanangu ndio ulikua mwanaharakati na mtetezi wa wa fanya biashara kariakoo 😢😢, sasa kumbe polisi ndio watekaji
2026-09-18 21:37:44
6
gwamakajairo1
Gy..@0312 :
watu kama wew ni vgumu sana kutimiza ndoto, maana una maono makubwa,ili usikomboe watu linaweza tokea lolote bt all in all big up bro
2026-09-19 07:19:15
5
user2586ams170598458
Dk maisha yakweri :
ume ongea point sana
2026-09-18 18:44:42
4
sam559135
Sam :
Bro why mm sifanikiwi
2026-09-18 19:43:52
1
sebastian.ndungur
Sebastian Ndunguru :
kila kitu hapa dunian ni BETTING tu...ebu fikiria unajenga nyumba ya fahari umeiwekea bajeti ndani ya miez sita iwe imekamilika SASA EBU JIULIZE JE HUO MUDA UNA UHAKIKA WA KUUFIKIA AU NDIO UNABETTI....!!?
2026-09-21 08:06:40
2
salim.mbala
salim mbala :
kwel kaka nakukubali sana kaka p1 sana
2026-09-18 16:58:43
4
lekuz8001
lekuz8001🌟🔥 :
2026-09-18 18:24:27
3
user8172677704938
West Breezy :
Kweli maisha yamebadilika kaka
2026-09-19 09:31:55
1
user7951111126354
0766741280 :
mungu akusimamie kaka
2026-09-18 18:27:29
2
ibrahjumanyauling
Ibrah juma Nyaulingo :
Big sativa 🫡🫡🫡
2026-09-18 21:24:39
2
jestad.simkulwa7
Jestad Simkulwa :
@ntumie namba
2026-09-20 08:46:41
0
hobbybrown71
71GOAT 𓃵 :
Betting ni kazi Kama kazi nyingine wadau ukizingatia napia ukiwa makini unatoboa
2026-09-20 07:25:09
0
joshuaminja26
Joshua Minja :
na kibali kaka 😂😂😂
2026-09-18 18:13:45
1
zullykhan.1
Zullykhani💫 :
umeanza vizur sanaa badae ukaboronga sasa mbelee apo kwa mtu anayee beti apatee aidia ipi kwenye stor yako uliyoo itoa nashdwaa kutofautisha kubeti na shidaa binafsii
2026-09-18 19:01:47
5
killer144299
KILLER14 :
brooo vp
2026-09-19 12:45:59
0
user7465613691422
golo :
hatuchoki oy kaka nitumie namba yako ya what sap
2026-09-21 04:28:17
0
2h6sxdsg
𝙳𝙰𝚅𝙸𝙳 𝙸𝚂𝚂𝙰𝙲𝙺 :
bro 😁
2026-09-20 01:13:56
0
killer144299
KILLER14 :
au hutaki na ss ttke kimaisha kaka ety
2026-09-19 12:46:41
0
barakadismas736
Baraka Dismas :
usiwaite polisi washikaji itakuwa unakosea pakubwa sana
2026-09-19 20:52:58
0
user5782176240850
said :
no yako ya wasap
2026-09-18 19:42:16
0
To see more videos from user @sativa_255_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About