@badawiy.media: ALHAMDULILLAH ,Kadri siku zinavozidi kwenda MAWAHABI ,wanazidi kubainika kuwa ni waongo ‼️ na wanajaribu kuwaharibu akili watu wasiokuwa na elimu ya dini ,Ukiona mtu ameshikwa akili na wahabi ujue JAHIL huyo Angalia kile wanacho kipigania kumbe Ni urongo Mtupu , kuna watu Wamemezeshwa urongo huo bila kujua maskini ALLAH ATAZIDI KUWABAINISHA - HAWA MAYAHUDI #millionviews #fyp #tiktok #foryoupage #trending